Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
maneno ya mkosaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Super cup!! Usijifanye haujui.Nyie mpo mashindano gani?
wewe uliujulia mpira wapi? hebu tuwekee profile yako! Tatizo bongo wanachambulia mpira mdomoni huku hawajawahi kuucheza!Kifupi unalazimisha kushabikia mpira halafu haujui mpira wenyewe. Laiti kama ungekuwa unaujua mpira usingeandika huu ujinga.
Timu zote hizo zinashiriki kombe la losers, kwani hujui!! Mazembe ilikuwa zamani!Mpaka yanga ichuku hili kombe basi mashabiki wa Simba watakuwa hoi sio kwa wivu huu😅👈
Mazembe mbovu
Monastir mbovu
Africain mbovu
River mbovu
Marumo mbovu..
Horya timu kubwa
Haya ya uteuzi..!! Endeleeni kuteuliwaSuper cup!! Usijifanye haujui.
AahaaaaaIla ilimpiga pyramids akiwa nafasi ya 3 ligi ya Misri.
Yaani watatafuta kwa kuishi.![]()
Kombe hili hili wanalolisema leo, NDO WALIROGA HUKO NJE YA NCHI HADI KUPIGWA FAINI KWA KUFANYA TAMBIKO HATARISHI.
Yaani CAF walijaribu kupunguza makali ya maneno kidogo. Badala ya kusema Simba ni wachawi, wakasema Simba wamefanya tambiko hatarishi
Pesa!Timu haina hata mchezaji mmoja kwenye timu ya Taifa!! Mkiambiwa ni mashindano ya losers muwe mnaelewa!! Ndiyo maana caf hutoa fedha kiduchu kwa washiriki kwenye kombe hili. Aliyeishia robo fainali caf champions league ana pesa nyingi kuliko aliyefika nusu fainali kombe hili la losers!