Marumo Gallants FC: Ni timu ya tatu toka mkiani kwenye ligi ya Afrika ya kusini. Hakuna cha kujisifu kuifunga timu mbovu

Marumo Gallants FC: Ni timu ya tatu toka mkiani kwenye ligi ya Afrika ya kusini. Hakuna cha kujisifu kuifunga timu mbovu

Mpaka yanga ichuku hili kombe basi mashabiki wa Simba watakuwa hoi sio kwa wivu huu😅👈

Mazembe mbovu
Monastir mbovu
Africain mbovu
River mbovu
Marumo mbovu..



Horya timu kubwa
 
Kifupi unalazimisha kushabikia mpira halafu haujui mpira wenyewe. Laiti kama ungekuwa unaujua mpira usingeandika huu ujinga.
wewe uliujulia mpira wapi? hebu tuwekee profile yako! Tatizo bongo wanachambulia mpira mdomoni huku hawajawahi kuucheza!
 
Mpaka yanga ichuku hili kombe basi mashabiki wa Simba watakuwa hoi sio kwa wivu huu😅👈

Mazembe mbovu
Monastir mbovu
Africain mbovu
River mbovu
Marumo mbovu..



Horya timu kubwa
Timu zote hizo zinashiriki kombe la losers, kwani hujui!! Mazembe ilikuwa zamani!
 
Na super cup Simba itakwenda kutiaa aibu ya mwakaa mzimaa kuwai kupatikanan kwenye soka
 
img_2_1667389513507.jpg
Yaani watatafuta kwa kuishi.

Kombe hili hili wanalolisema leo, NDO WALIROGA HUKO NJE YA NCHI HADI KUPIGWA FAINI KWA KUFANYA TAMBIKO HATARISHI.

Yaani CAF walijaribu kupunguza makali ya maneno kidogo. Badala ya kusema Simba ni wachawi, wakasema Simba wamefanya tambiko hatarishi
 
Hamna timu hapo,kwakuwa kombe la luza ucje shangaa wakabeba kombe
 
Timu haina hata mchezaji mmoja kwenye timu ya Taifa!! Mkiambiwa ni mashindano ya losers muwe mnaelewa!! Ndiyo maana caf hutoa fedha kiduchu kwa washiriki kwenye kombe hili. Aliyeishia robo fainali caf champions league ana pesa nyingi kuliko aliyefika nusu fainali kombe hili la losers!
Pesa!
Baada ya miaka kumi hakuna atakayekumbula eti mlipata pesa kiasi gani Bali mlipata mafanikio gani!?
Kombe ni muhimu kuliko unavozani
 
Back
Top Bottom