FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Waulize PyramidPicha chini inajieleza, hao Marumo Gallants wako nafasi ya 14 kwenye ligi kuu ya Afrika kusini, in short wanaelekea kushuka daraja. Mtu aniambie, ni lini hapa...
Basi nendeni CAF makapewe nyie hio nafasi kama hao Marumo hawastahiliSi ajabu Utopolo watakuja hapa kuwetetea hawa vibonde wenzao
Leeds ya kina mark viduka ilitoka nusu fainali uefa cl hadi kushuka darajaPicha chini inajieleza, hao Marumo Gallants wako nafasi ya 14 kwenye ligi kuu ya Afrika kusini, in short wanaelekea kushuka daraja. Mtu aniambie, ni lini hapa duniani timu inayoshiriki nusu fainali ya mashindano ya vilabu ya bara husika ikawa kwenye mkia wa ligi kuu ya nchi yake kiasi cha kuelekea kushuka daraja? Nyie mmewahi kuona wapi?
Sasa timu kama hii ukiifunga unaweza ukatoka mbele kusema umeshinda kweli?
View attachment 2610647
Hawa jamaa hadi sasa viroho vyao vinauma naona hawaamini kabisa yanayoendeleaBasi nendeni CAF makapewe nyie hio nafasi kama hao Marumo hawastahili
I think ungemuuliza Ahmed Ali msemaji wa CAF atakua na majibu sahihiPicha chini inajieleza, hao Marumo Gallants wako nafasi ya 14 kwenye ligi kuu ya Afrika kusini, in short wanaelekea kushuka daraja. Mtu aniambie, ni lini hapa duniani timu inayoshiriki nusu fainali ya mashindano ya vilabu ya bara husika ikawa kwenye mkia wa ligi kuu ya nchi yake kiasi cha kuelekea kushuka daraja? Nyie mmewahi kuona wapi?
Sasa timu kama hii ukiifunga unaweza ukatoka mbele kusema umeshinda kweli?
View attachment 2610647
[emoji23][emoji23][emoji23] JF kuna watuI think ungemuuliza Ahmed Ali msemaji wa CAF atakua na majibu sahihi
Ameingia nusu fainali kwa kuwafunga aliowafunga..!! Kama ambavyo Simba iliishia robo fainali kwa kufungwa na mbabe wake..!! Au unadhani walipigiwa KURA?Picha chini inajieleza, hao Marumo Gallants wako nafasi ya 14 kwenye ligi kuu ya Afrika kusini, in short wanaelekea kushuka daraja. Mtu aniambie, ni lini hapa duniani timu inayoshiriki nusu fainali ya mashindano ya vilabu ya bara husika ikawa kwenye mkia wa ligi kuu ya nchi yake kiasi cha kuelekea kushuka daraja? Nyie mmewahi kuona wapi?
Sasa timu kama hii ukiifunga unaweza ukatoka mbele kusema umeshinda kweli?
View attachment 2610647
CC Kalpana, FRANCIS DA DON, GENTAMYCINE, cocastic et elKabylie alivyoingia robo fainali hamkuandika hizi nyuzi za kuhoji kwanini Kabylie anashuka daraja lakini kafuzu robo fainali klabu bingwa View attachment 2610658
Mimi sijakataa kwamba mtapiga , maana hiyo timu hata wakicheza na Namungo wanachakazwa vibaya! Kwahiyo sioni sababu ya mtu kushangilia ushindi wa kumpiga mlevi.., no way! Na mlivyokosa aibu mtakuja hapa kushangiliaSisi atukumwambia acheze nusu caf alafu ashuke daraja sisi atujui hiyo tutampiga kama mbwa koko aliyeiba chupi