Marumo Gallants wamefikaje nusu fainali CAF? Wako mbioni kushuka daraja

Marumo Gallants wamefikaje nusu fainali CAF? Wako mbioni kushuka daraja

Mimi sijakataa kwamba mtapiga , maana hiyo timu hata wakichenza na Namungi wanachazwa vibaya! Kwahiyo sioni sababu ya mtu kushangikia ushindi wa kumpiga mlevi.., no way!
Ushindi ni ushindi tu akuna aina ya ushindi wa kushangilia wowote hule unashangiliwa tu mbona nyie simba mmeshangilia ushindi wa kumfunga yanga na wa kufa kiume wakati auna impact yoyote why yanga wasishangilie ushindi kwa malumo angali unafaida kemkem kwao
 
Rimu kama yanga ikienda kushiriki ligi ya SA, inashika mkia na kushuka daraja.
 
Football ni business. It depends on priorities. It sometimes pays to compete in continental competitions kuliko local wakati unajipanga
 
Huyu mwandishi ni team maiti...anateseka kumtetea kila siku kutetea legas.

Ni mshabiki wa Simba. ... sijajua Simba wanajihusisha na nn hapa nchini Kwa sasa

Muombe mungu akusaidie
 
Mtu aniambie, ni lini hapa duniani timu inayoshiriki nusu fainali ya mashindano ya vilabu ya bara husika ikawa kwenye mkia wa ligi kuu ya nchi yake kiasi cha kuelekea kushuka daraja? Nyie mmewahi kuona wapi?
Kombe la shirikisho
 
ILA MAMELODI WANAWAIGA YANGA KARIBU KILA KITU!!
 
Marumo sio wabovu
Kumbukeni hata villareal iliwatoa Bayern Munich uku barcelona wakinawa 3- nenda rudi
 
Mimi sijakataa kwamba mtapiga , maana hiyo timu hata wakicheza na Namungo wanachakazwa vibaya! Kwahiyo sioni sababu ya mtu kushangilia ushindi wa kumpiga mlevi.., no way! Na mlivyokosa aibu mtakuja hapa kushangilia
Kiwango cha sasa cha pyramids kinazidiwa na cha namungo?
 
Back
Top Bottom