Marumo Gallants wamefikaje nusu fainali CAF? Wako mbioni kushuka daraja

Wako nafasi ya 14 inachekesha
 
Mimi sijakataa kwamba mtapiga , maana hiyo timu hata wakicheza na Namungo wanachakazwa vibaya! Kwahiyo sioni sababu ya mtu kushangilia ushindi wa kumpiga mlevi.., no way! Na mlivyokosa aibu mtakuja hapa kushangilia
Namungo hii hii iliyotoka sare na Simba au nyingine?
 
Yanga wana kila sababu ya kufika fainali.
Wasipofika itakua ni kituko cha karne, maana itachukua miaka 100 kuja tena kupata mtelezo kama huu, ni kama wameshapata penalty tayari, washindwe wao tu
 
Reactions: Tsh
Kaiza chief mwaka 2020 alifika final caf champion league.ili hali alimaliza wa 14 kwao
 
Tafsiri sahihi ya kombe la Washindwa.
 
Km unajua malengo na mipango yao tuambie kwanza. Lkn kwa nini Marumo tu na sii West Ham?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…