Marumo Gallants wamefikaje nusu fainali CAF? Wako mbioni kushuka daraja

Bado ni ya kipuuzi, Simba ilijitoa tu makusudi sababu haikuwa hadhi yake
Halafu unajua kuwa walitaka kujitoa kabla hawajafika makundi isipokuwa kila wakitaka kujifungisha magoli yanaenda kufungwa kwa wapinzani,
Wakajikuta wameshafika robo fainali na ule moto ulijiwasha wenyewe.
 
Ushaambiwa hili ni shindano la vilaza,mabumunda,losers,failures,waliofeli ,walioshindwa,mapoyoyo,mautopolo yote ndio yanakutana huko[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maaskini MAKOLO

Na je kutoa sare na Namungo? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na hapo imepanda tu juzi lakin baada ya kumaliza mechi za makundi na kuongoza ilikuwa ya mwisho kabisa, kiukwel ni maajabu, sijui aliweza vipi kumtoa Pyramidi
MAKOLO mnashangaza sana [emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi mmebakiza kugombea kombe lipi? La Mbuzi au kuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…