brAin cRacker
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 590
- 767
Marvel wamejitengeneza brand mtu akiona ile logo anajua avanger Sasa DC Kila siku wanaenda mwendo wa mlevi Mara mia wangepiga pause ya miaka hata mitano then waje upya ila tatizo wanafanya catch up game na marvel ,hata kuannounce chapter 1 ilikuwa NI mistake + elseworld projectSana mashabiki wa DCU wanalalamikaga movie zao hazifanyiwi promotion kama MCU lakin hii the flash imefanyiwa promotion ya kutosha
Ndo wameshaamua kureboot mambo yanaenda kuanza upyaMarvel wamejitengeneza brand mtu akiona ile logo anajua avanger Sasa DC Kila siku wanaenda mwendo wa mlevi Mara mia wangepiga pause ya miaka hata mitano then waje upya ila tatizo wanafanya catch up game na marvel ,hata kuannounce chapter 1 ilikuwa NI mistake + elseworld project
Best mcu movie toka avenger endgameJamani tuiongelee bas guardians of the galaxy 3…hapa marvel walitulia
Hivi kwann lazima watengeneze fe,male version ya already existing male characters??? Kwanini kama wnaataka female superhero wasitengeneze mpya na story mpya kama wonder woman?
Mmeukimbia uzi wemu?
Huku umekuja kutafuta nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mmeukimbia uzi wenu?
Kitu kizuri ni kuwa huyo mwekundu anatoa mkong'oto unao eleweka wakati wengine wanachezeshwa kama vikatuniFirst look
View attachment 2684106
Hawa jamaa mbona picha zao zunavuja sana , hakuna privacy View attachment 2684585
Yaan picha zimezagaa kila sehemu kuna video kabisa nimeiona twitter inadakika 5 inaonesha wapo location, mbona movie nyingine wanawekaga usiri mwingiMpaka tushajua kuwa Deadpool ataonewa sana hapa. Sema tu ni mbishi na ni main character lazima apendelewe[emoji18][emoji16]
View attachment 2684900
Hawa jamaa mbona picha zao zunavuja sana , hakuna privacy View attachment 2684585
Apendelewe vipi, Deadpool hafagi yuleMpaka tushajua kuwa Deadpool ataonewa sana hapa. Sema tu ni mbishi na ni main character lazima apendelewe[emoji18][emoji16]
View attachment 2684900