Marvel Cinematic Universe special thread

Sana mashabiki wa DCU wanalalamikaga movie zao hazifanyiwi promotion kama MCU lakin hii the flash imefanyiwa promotion ya kutosha
Marvel wamejitengeneza brand mtu akiona ile logo anajua avanger Sasa DC Kila siku wanaenda mwendo wa mlevi Mara mia wangepiga pause ya miaka hata mitano then waje upya ila tatizo wanafanya catch up game na marvel ,hata kuannounce chapter 1 ilikuwa NI mistake + elseworld project
 
Ndo wameshaamua kureboot mambo yanaenda kuanza upya
 
1688154731212.jpg
1688154754651.jpg
1688154739106.jpg
1688154761937.jpg
 
Kuna giveaway nafanya ya Mission Impossible a free Movie ticket

please mshindi atoke humu, join the challenge na link hapo

Back
Top Bottom