brAin cRacker
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 590
- 767
Marvel wamejitengeneza brand mtu akiona ile logo anajua avanger Sasa DC Kila siku wanaenda mwendo wa mlevi Mara mia wangepiga pause ya miaka hata mitano then waje upya ila tatizo wanafanya catch up game na marvel ,hata kuannounce chapter 1 ilikuwa NI mistake + elseworld projectSana mashabiki wa DCU wanalalamikaga movie zao hazifanyiwi promotion kama MCU lakin hii the flash imefanyiwa promotion ya kutosha