Marvel Cinematic Universe special thread

Siku notice ila thanks for noticing.. maana kijana wa Queens hatakiwi awe na british accent [emoji28]
Movie za MCU zimenifanya niwe makini sana,haswa baada ya kuanza mfatilia jamaa mmoja YouTube anaitwa CanadianLad, yeye anangalia yote then anarudia tena kuangalia kwa speed ya 0.25 ili kung'amua small details ambazo kwa speed ya kawaida hauwez ziona.
 
Kwenye Eternal,kuna scene Makkari anaambiwa atafute 'a point of emmegency" ili wenzake watambue celestial wap atarise wamdhibiti,Makkari alitoka speed ya ajabu toka babiloni ya zamani kama sikosei had RIO DE JANEIRO for sec mpka akafika pahala husika.

Mtoto wa Magneto(Quicksilver),kwenye X-men kuna sehemu anafuatwa na members wa X-men ,alafu wanamkuta jamaa anacheza tennis kama wapo wawili kumbe yuko man alone.

Sasa wazee wa Comics ambao mko future ni nani ambaye yuko speed kat ya Makkari vs Quicksilver?
 
🥱
 
Kuna jambo la ajabu alilifanya makkari ni ku break sound barrier kwenye ground,ni kitu anafanya superman, iron man na jet fighter ila wao wote wanakuaga angani uko juu.

Ali break sound barrier wapi?
Ni pale alipokua ana mpush ikaris kwenye final battle, ukiangalia anatoka nae speed then kuna unaona sound wave(ame break sound barrier)

Ichi kitendo kinaashilia huyu master yuko na speed ya ajabu sana
 
Movie za MCU zimenifanya niwe makini sana,haswa baada ya kuanza mfatilia jamaa mmoja YouTube anaitwa CanadianLad, yeye anangalia yote then anarudia tena kuangalia kwa speed ya 0.25 ili kung'amua small details ambazo kwa speed ya kawaida hauwez ziona.
Woyo woyo...... Hi there i'm the canadian lad and this time i watched Spiderman no way home in 0.25 x speed
 
Woyo woyo...... Hi there i'm the canadian lad and this time i watched Spiderman no way home in 0.25 x speed
Ndugu hahaha kama ulikua haujawahi mfatilia, wewe utaenjoy sana kama ukiwa na bando,amefanya almost movie zote za MCU, hadi kuna kipindi zikaisha akafanya za DC [emoji1787][emoji1787]
 
Hapa movie ya saa mbili unaangalia saa nane [emoji28]
I can’t [emoji1430]
No yeye anaangalia mwenye alafu anakuja kuuonesha wewe kwa vipande,ukiangalia hizo clip lazma ufurahi yaani.
Kuna movie moja captain America anapita hiv mbele ya camera alafu anaikwepa ile camera,so hizo details hizo huwez ziona,nadhan ni edge of ultron mwishoni kule.
Clips zinakuaga dakika 8,15 ndefu sana 20.

Ni kama nampigia debe lakin ni mcanada hata hatujuani,ni vile jamaa anafanya kazi nzuri hadi MCU wame mrecognise mjamaa,ni ana studio kabisa kwa kazi hiyo
 
Sawa nahis nshawahi kuona clip yake maybe kama ana zile YouTube shorts
 
Ndugu hahaha kama ulikua haujawahi mfatilia, wewe utaenjoy sana kama ukiwa na bando,amefanya almost movie zote za MCU, hadi kuna kipindi zikaisha akafanya za DC [emoji1787][emoji1787]

Ok.. nimeona nikamuangalie, aisee MCU ni the best yaani ideas zilivyokuwa detailed ziko exceptional

by the way jamaa amepata new subscriber, thanks [mention]bravocharlie [/mention] and [mention]tzniceguy [/mention]
 
Movie za MCU zimenifanya niwe makini sana,haswa baada ya kuanza mfatilia jamaa mmoja YouTube anaitwa CanadianLad, yeye anangalia yote then anarudia tena kuangalia kwa speed ya 0.25 ili kung'amua small details ambazo kwa speed ya kawaida hauwez ziona.
Kama unamjua canadianlad kweli wewe ni marvel fan I salute you
 
Ok.. nimeona nikamuangalie, aisee MCU ni the best yaani ideas zilivyokuwa detailed ziko exceptional

by the way jamaa amepata new subscriber, thanks [mention]bravocharlie [/mention] and [mention]tzniceguy [/mention]
Karibu sana kundini ndugu, nadhani wale ni kina Da'Vinci sema tu jamaa yetu hajataka tengeneza pesa,maana wote ni wafatiliaji sana wa comics.
 
Yaaani nilivyo angakia doctor strange one nilikua nafurahi kumsikiliza ancient one, aiseee kila akiongea anatoa madini tu
Nadhani ilikua john snow ila ancient one kaushika moyo wangu.
Hata katika end game alivyokutana na hulk yaani anatema madini tu. Script yake iliandika kwa ustadi sana na ile British accent imenogesha zaidi.

au ndugu zangu nyie ancient one mlimuonaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…