bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 857
Movie za MCU zimenifanya niwe makini sana,haswa baada ya kuanza mfatilia jamaa mmoja YouTube anaitwa CanadianLad, yeye anangalia yote then anarudia tena kuangalia kwa speed ya 0.25 ili kung'amua small details ambazo kwa speed ya kawaida hauwez ziona.Siku notice ila thanks for noticing.. maana kijana wa Queens hatakiwi awe na british accent [emoji28]