Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Doom patrol tafuta season yake nzuri sana mkuu sema utani umejaa mwingi sanaNipo mtupu kabisa upande wa Dc Comics, ngoja leo nianze kuwasoma Doom Patrol. Dc hawathamini fans wao
Interesting....
Sema tu Elon hajajikita sana kwenye movie industry
Mpaka sasa sioni Logic ya kumuondoa Beb afleck he was perfect Batman, lakini pia kwani nilazima watuletee muvi ya batman pekee?? Mm hata sipo interested na hii muvi, DC wapuuzi kabisa hawawezi kua na continuity ya stori moja tu kama marvel sio kureboot franchise kila baada ya miaka kadhaa. Inaboa
Aquaman tu ndio nipo excited nayo coz I'm a fan of Jason
Kila mashabiki wa marvel wanachoomba marvel wanatoa. They care about Us[emoji7]
Nasubiri season ya groot marvel executive producer bwana feige anasema wata explore his home planet. sema itakuwa kama animationMimi bado hiyo THE BATMAN naiangalia kwa upande sijui kama itakuwa na maajabu kama expectations za watu wengi zilivyo.
Ok kkaribu bwana Groot/Tree
Hatuwezi kumuomba Max kwenye hili labda. Welcome, hujachagua character yako!!
Wazo kalo sens ngoja niatafute character hapa ataenifaa maana marvel moviea ndo kwanza nimeanza kuangalia seriously last monthWakuu nimeona nianzishe hichi kitu kinaitwa Role Playing humu kweye huu uzi, Naona inatumiwa pia kwenye Video games (Sikujua hili kabla)
Marvel Mates
Role playing: Ni mfumo fulani hua unatumika kwenye Group work ambapo mtu anaweza kuchagua character fulani na kujifanya yeye ndio character huyo hivyo anatakiwa kua kufahamu mambo mengi yanayomuhusu character huyo.
So kwa hapa kwenye uzi huu ningependa kila mtu achague character ampendae na kujifanya ndio yeye! Character hatakiwi kuchaguliwa mara mbili. Mimi namchagua Stephen "Doctor" Strange na alternate version zake zote kua role playing yangu. Tutakua tunaitana humu kutokana na majina tuliyojichagulia.
Kwenye mitandao mingine unaweza kubadirsha jina ukiwa ndani ya group hilo la Role playing ambalo hua linatumika ndani ya Group pekee ukitoka njee unabaki na jina lako la Account. Sidhani kama humu jf inawezekana kufanya hivyo labda tumuulize Max.
Karibuni kama mtapenda wazo langu tufanye hivyo✌️
View attachment 2125081
Cc:
Jorge WIP bravocharlie Kunguru wa Manzese I am Groot Franky Samuel tzniceguy unque bin unuq Joe Unruly trigger_ three phase Xaph87 MrConveter Dream Queen Mr Devil McWon_Calvin
Nenda katazame kwanza Muvi ya X-Men Origin ya 2009 huko ndio deadpool alipoanzia japo stori yake haiendelezwi kwenye muvi za Deadpool.Sorry fellas, jana nilidownload deadpool 1 mwanzo tu nikaona kuna maswala kama ya xmen yanaingiliana ikabidi ni pause for moment, hiv kuna chronological order yeyote ya kuwatch hizi xmen and deadpool movies
acha kabisa mkuu, ile continuity ilikuwa pouwa sana.Armada = "a fleet of warships "
kudadekii [emoji1787][emoji1787] na wangeendelea na sequal mzee mzima alikuwa anakuja earth kwa ajili ya his ultimate prize " the ant life equation"
baada ya stephenwolf kushindwa kazi na alikuwa ame mind kisengee
Najua ni MCU thread mkuu, ila allow me to explain.Mpaka sasa sioni Logic ya kumuondoa Beb afleck he was perfect Batman, lakini pia kwani nilazima watuletee muvi ya batman pekee??
X-Men ni kama terminators na star warsSorry fellas, jana nilidownload deadpool 1 mwanzo tu nikaona kuna maswala kama ya xmen yanaingiliana ikabidi ni pause for moment, hiv kuna chronological order yeyote ya kuwatch hizi xmen and deadpool movies
Daaah asante sikuwa najua hiliBinafsi sikupenda walivyobadiri character yake kutoka kua ya kiume kuifanya ya kike. The same as Makkari
Sure hauta jutiaItabidi nianze kutumia Youtube maana naona napitwa na mengi!
Sema dc wanafeli kwenye movie za pamoja bcoz walimuweka superman ni ana nguvu sana tangu kitambo,ni ngumu kumshusha.Armada = "a fleet of warships "
kudadekii [emoji1787][emoji1787] na wangeendelea na sequal mzee mzima alikuwa anakuja earth kwa ajili ya his ultimate prize " the ant life equation"
baada ya stephenwolf kushindwa kazi na alikuwa ame mind kisengee
Hapo ndipo walipozinguaSema dc wanafeli kwenye movie za pamoja bcoz walimuweka superman ni ana nguvu sana tangu kitambo,ni ngumu kumshusha.
Imagine superman angekuwepo tangu mwanzo ile movie ingekua ya dakika 5.
Lakini MCU wamewin hapo tu kwenye kuweka mlinganyo sahihi
. brother superman on his prime hapigiki hata kidogo.
Silver Sufer (jack kirby)ni favorite superhero wa ''STAN LEE'' ni moja ya character ambaye haja mcreate yeye,lakini ndio best superhero wake!!Wakuu nimeona nianzishe hichi kitu kinaitwa Role Playing humu kweye huu uzi, Naona inatumiwa pia kwenye Video games (Sikujua hili kabla)
Marvel Mates
Role playing: Ni mfumo fulani hua unatumika kwenye Group work ambapo mtu anaweza kuchagua character fulani na kujifanya yeye ndio character huyo hivyo anatakiwa kua kufahamu mambo mengi yanayomuhusu character huyo.
So kwa hapa kwenye uzi huu ningependa kila mtu achague character ampendae na kujifanya ndio yeye! Character hatakiwi kuchaguliwa mara mbili. Mimi namchagua Stephen "Doctor" Strange na alternate version zake zote kua role playing yangu. Tutakua tunaitana humu kutokana na majina tuliyojichagulia.
Kwenye mitandao mingine unaweza kubadirsha jina ukiwa ndani ya group hilo la Role playing ambalo hua linatumika ndani ya Group pekee ukitoka njee unabaki na jina lako la Account. Sidhani kama humu jf inawezekana kufanya hivyo labda tumuulize Max.
Karibuni kama mtapenda wazo langu tufanye hivyo✌️
View attachment 2125081
Cc:
Jorge WIP bravocharlie Kunguru wa Manzese I am Groot Franky Samuel tzniceguy unque bin unuq Joe Unruly trigger_ three phase Xaph87 MrConveter Dream Queen Mr Devil McWon_Calvin
Silver Sufer (jack kirby)ni favorite superhero wa ''STAN LEE'' ni moja ya character ambaye haja mcreate yeye,lakini ndio best superhero wake!!
Anyway!!kama hili iitafanyika Basi mi nitakua mzee wa cameo"stan lee",hahhaah hii itanifanya kua na uwanja mkubwa wa kuwaelezea character wangu,,[emoji23][emoji23][emoji23]u can't beat the system!!
View attachment 2125632
sawsaw!!!brotherHahah sawa mzee excelsior!
Ahsante sana mkuu kwa maelekezo yako ila Ukweli siipendi cast ya Robert as Bruce WayneNajua ni MCU thread mkuu, ila allow me to explain.
The Batman inaelezea miaka ya Bruce wayne mwanzoni kabisa pale alipoamua kuwa dark knight, yaani ile miaka ya u-rookie vigilante justice, ndo maana ukiangalia kuanzia costume, batmobile zinaonekana simple na sef made(hazipo sophisticated kama kwenye The DarkKnight,au Justice league, au BatmanVsSuperman). Kwa mantiki hiyo pia ilibidi hata actor awe kijana kidogo kumtofautisha na affleck. Katika comics za batman kuna moja zinaitwa "Batman;Year 1", ndo ide ya muvi imetoka huko.
Pia mkuu, ukiangalia muvi zote za batman ni hakuna hata moja(kama niko sahihi) ambayo ni his early years.
So mkuu, hawaja-reboot franchise, wanataka onesha before jamaa anavyoanza ilikuwaje, thats all.
Kwenye the flash, kama tutabahatika, wanaweza tuletea flashpoint.
Mbona mm nazielewa vuzuri tu hasa X-Men.X-Men ni kama terminators na star wars
Chronological order zake hazimake sense
Anzia Iron Man... Ukifika Spiderman no way home angaia kwanza Spiderman 1story za hizi movie za marvel zinaanzia movie gani??
Hongera sana...Karibu AntiHero Winter soldierbinafsi nachagua character ya winter soldier, the man is ruthless,great fighter,self motivator yani jamaa namkubali sana
Sema dc wanafeli kwenye movie za pamoja bcoz walimuweka superman ni ana nguvu sana tangu kitambo,ni ngumu kumshusha.
Imagine superman angekuwepo tangu mwanzo ile movie ingekua ya dakika 5.
Lakini MCU wamewin hapo tu kwenye kuweka mlinganyo sahihi
. brother superman on his prime hapigiki hata kidogo.