Najua ni MCU thread mkuu, ila allow me to explain.
The Batman inaelezea miaka ya Bruce wayne mwanzoni kabisa pale alipoamua kuwa dark knight, yaani ile miaka ya u-rookie vigilante justice, ndo maana ukiangalia kuanzia costume, batmobile zinaonekana simple na sef made(hazipo sophisticated kama kwenye The DarkKnight,au Justice league, au BatmanVsSuperman). Kwa mantiki hiyo pia ilibidi hata actor awe kijana kidogo kumtofautisha na affleck. Katika comics za batman kuna moja zinaitwa "Batman;Year 1", ndo ide ya muvi imetoka huko.
Pia mkuu, ukiangalia muvi zote za batman ni hakuna hata moja(kama niko sahihi) ambayo ni his early years.
So mkuu, hawaja-reboot franchise, wanataka onesha before jamaa anavyoanza ilikuwaje, thats all.
Kwenye the flash, kama tutabahatika, wanaweza tuletea flashpoint.