Marvel Cinematic Universe special thread

Nipo mtupu kabisa upande wa Dc Comics, ngoja leo nianze kuwasoma Doom Patrol. Dc hawathamini fans wao

Interesting....

Sema tu Elon hajajikita sana kwenye movie industry

Mpaka sasa sioni Logic ya kumuondoa Beb afleck he was perfect Batman, lakini pia kwani nilazima watuletee muvi ya batman pekee?? Mm hata sipo interested na hii muvi, DC wapuuzi kabisa hawawezi kua na continuity ya stori moja tu kama marvel sio kureboot franchise kila baada ya miaka kadhaa. Inaboa

Aquaman tu ndio nipo excited nayo coz I'm a fan of Jason

Kila mashabiki wa marvel wanachoomba marvel wanatoa. They care about Us[emoji7]
Doom patrol tafuta season yake nzuri sana mkuu sema utani umejaa mwingi sana
 
Mimi bado hiyo THE BATMAN naiangalia kwa upande sijui kama itakuwa na maajabu kama expectations za watu wengi zilivyo.
Nasubiri season ya groot marvel executive producer bwana feige anasema wata explore his home planet. sema itakuwa kama animation
 
Marvel Mates
Wakuu nimeona nianzishe hichi kitu kinaitwa Role Playing humu kweye huu uzi, Naona inatumiwa pia kwenye Video games (Sikujua hili kabla)
Role playing: Ni mfumo fulani hua unatumika kwenye Group work ambapo mtu anaweza kuchagua character fulani na kujifanya yeye ndio character huyo hivyo anatakiwa kua kufahamu mambo mengi yanayomuhusu character huyo.

So kwa hapa kwenye uzi huu ningependa kila mtu achague character ampendae na kujifanya ndio yeye! Character hatakiwi kuchaguliwa mara mbili. Mimi namchagua Stephen "Doctor" Strange na alternate version zake zote kua role playing yangu. Tutakua tunaitana humu kutokana na majina tuliyojichagulia.

Kwenye mitandao mingine unaweza kubadirsha jina ukiwa ndani ya group hilo la Role playing ambalo hua linatumika ndani ya Group pekee ukitoka njee unabaki na jina lako la Account. Sidhani kama humu jf inawezekana kufanya hivyo labda tumuulize Max.

Karibuni kama mtapenda wazo langu tufanye hivyo✌️
View attachment 2125081

Cc:
Jorge WIP bravocharlie Kunguru wa Manzese I am Groot Franky Samuel tzniceguy unque bin unuq Joe Unruly trigger_ three phase Xaph87 MrConveter Dream Queen Mr Devil McWon_Calvin
Wazo kalo sens ngoja niatafute character hapa ataenifaa maana marvel moviea ndo kwanza nimeanza kuangalia seriously last month
 
Sorry fellas, jana nilidownload deadpool 1 mwanzo tu nikaona kuna maswala kama ya xmen yanaingiliana ikabidi ni pause for moment, hiv kuna chronological order yeyote ya kuwatch hizi xmen and deadpool movies
 
Nenda katazame kwanza Muvi ya X-Men Origin ya 2009 huko ndio deadpool alipoanzia japo stori yake haiendelezwi kwenye muvi za Deadpool.
Imetengenezwa na my favorite person David Benioff wa Game of Thrones

PS. No need to apologise pindi unapohitaji kujuzwa kitu humu, ndio lengo la uzi huu
 
Armada = "a fleet of warships "

kudadekii [emoji1787][emoji1787] na wangeendelea na sequal mzee mzima alikuwa anakuja earth kwa ajili ya his ultimate prize " the ant life equation"

baada ya stephenwolf kushindwa kazi na alikuwa ame mind kisengee
acha kabisa mkuu, ile continuity ilikuwa pouwa sana.
 
Mpaka sasa sioni Logic ya kumuondoa Beb afleck he was perfect Batman, lakini pia kwani nilazima watuletee muvi ya batman pekee??
Najua ni MCU thread mkuu, ila allow me to explain.

The Batman inaelezea miaka ya Bruce wayne mwanzoni kabisa pale alipoamua kuwa dark knight, yaani ile miaka ya u-rookie vigilante justice, ndo maana ukiangalia kuanzia costume, batmobile zinaonekana simple na sef made(hazipo sophisticated kama kwenye The DarkKnight,au Justice league, au BatmanVsSuperman). Kwa mantiki hiyo pia ilibidi hata actor awe kijana kidogo kumtofautisha na affleck. Katika comics za batman kuna moja zinaitwa "Batman;Year 1", ndo ide ya muvi imetoka huko.

Pia mkuu, ukiangalia muvi zote za batman ni hakuna hata moja(kama niko sahihi) ambayo ni his early years.
So mkuu, hawaja-reboot franchise, wanataka onesha before jamaa anavyoanza ilikuwaje, thats all.

Kwenye the flash, kama tutabahatika, wanaweza tuletea flashpoint.
 
binafsi nachagua character ya winter soldier, the man is ruthless,great fighter,self motivator yani jamaa namkubali sana
 
Armada = "a fleet of warships "

kudadekii [emoji1787][emoji1787] na wangeendelea na sequal mzee mzima alikuwa anakuja earth kwa ajili ya his ultimate prize " the ant life equation"

baada ya stephenwolf kushindwa kazi na alikuwa ame mind kisengee
Sema dc wanafeli kwenye movie za pamoja bcoz walimuweka superman ni ana nguvu sana tangu kitambo,ni ngumu kumshusha.
Imagine superman angekuwepo tangu mwanzo ile movie ingekua ya dakika 5.

Lakini MCU wamewin hapo tu kwenye kuweka mlinganyo sahihi
. brother superman on his prime hapigiki hata kidogo.
 
Hapo ndipo walipozingua
 
Marvel Mates
Wakuu nimeona nianzishe hichi kitu kinaitwa Role Playing humu kweye huu uzi, Naona inatumiwa pia kwenye Video games (Sikujua hili kabla)
Role playing: Ni mfumo fulani hua unatumika kwenye Group work ambapo mtu anaweza kuchagua character fulani na kujifanya yeye ndio character huyo hivyo anatakiwa kua kufahamu mambo mengi yanayomuhusu character huyo.

So kwa hapa kwenye uzi huu ningependa kila mtu achague character ampendae na kujifanya ndio yeye! Character hatakiwi kuchaguliwa mara mbili. Mimi namchagua Stephen "Doctor" Strange na alternate version zake zote kua role playing yangu. Tutakua tunaitana humu kutokana na majina tuliyojichagulia.

Kwenye mitandao mingine unaweza kubadirsha jina ukiwa ndani ya group hilo la Role playing ambalo hua linatumika ndani ya Group pekee ukitoka njee unabaki na jina lako la Account. Sidhani kama humu jf inawezekana kufanya hivyo labda tumuulize Max.

Karibuni kama mtapenda wazo langu tufanye hivyo✌️
View attachment 2125081

Cc:
Jorge WIP bravocharlie Kunguru wa Manzese I am Groot Franky Samuel tzniceguy unque bin unuq Joe Unruly trigger_ three phase Xaph87 MrConveter Dream Queen Mr Devil McWon_Calvin
Silver Sufer (jack kirby)ni favorite superhero wa ''STAN LEE'' ni moja ya character ambaye haja mcreate yeye,lakini ndio best superhero wake!!

Anyway!!kama hili iitafanyika Basi mi nitakua mzee wa cameo"stan lee",hahhaah hii itanifanya kua na uwanja mkubwa wa kuwaelezea characters wangu,,😂😂😂u can't beat the system!!
rsw_730h_973cg_true.jpg
 
Silver Sufer (jack kirby)ni favorite superhero wa ''STAN LEE'' ni moja ya character ambaye haja mcreate yeye,lakini ndio best superhero wake!!

Anyway!!kama hili iitafanyika Basi mi nitakua mzee wa cameo"stan lee",hahhaah hii itanifanya kua na uwanja mkubwa wa kuwaelezea character wangu,,[emoji23][emoji23][emoji23]u can't beat the system!!
View attachment 2125632

Hahah sawa mzee excelsior!
 
No! No! No!...

Hairuhusiwi kutumia Roleplay ya Stan Lee, yeye ndio Mungu wa Marvel Universe hakuna kama yeye hivyo haitakiwi kumtumia. Ni kumkosea heshima Excelsior

Wajua kama Mungu, Yesu na Shetani wapo kwenye Marvel Universe ila kwa majina tofauti?? Nitawadokeza kidogo kuhusu wao. Kwa mujibu wa Comics.

Kama mtakumbuka wakati Doctor Strange na Mordo wanafanya training kule Kamal Taj, Mordo alichagua alimwambia Stephen Kwamba siraha aliyoishika nguvu zake walizitoa kwa Entity inayoitwa Living Tribunal
images (89).jpeg

Living Tribunal ni entinty ambayo kazi yake ni kukagua na kuhakikisha balance ya Realities zote inakua sawa kwa multiverse zote, na pia hutoa hukumu kwa wanaovunja reality kwenye Comics kuna wakati Living Tribunal alitaka kuangamiza watu wote wa dunia nzima baada ya kuona wanadamu wamezidi kufanya uovu, lakini doctor strange akamshawishi kwa kuwatetea wanadamu kwamba wapo baadhi wanaotenda mema.....(Kama hua mnasoma biblia mtakumbuka kunatukio kama hilo ambapo Mungu alitaka kuangamiza dunia ila Ruth/Nuhu akamshawishi Mungu kwamba wapo watu wema pia)
Huyu Living Tribunal ndio entity pekee anaefanya kazi kumuwakilisha most powerful na muumba wa kila kitu katika Marvel Universe ambae ni....

The One Above All
Huyu ndio most powerful in marvel universe muumba wa kila kitu, nguvu zake ni Yupo kila mahali, anajua kila kitu,anaweza kila kitu
Sasa huyu One Above All ndio Stan lee mwenyewe kwakua yeye ndio kaumba character na kuitengeza Marvel Comics/Universe kua hivi ilivyo

Kwa sababu hii hakuna anayeweza kuigiza nafasi yake. Uliyechagua nafasi ya Stan Lee Tafadhali badirisha Role Play yako please
images (90).jpeg
 
Najua ni MCU thread mkuu, ila allow me to explain.

The Batman inaelezea miaka ya Bruce wayne mwanzoni kabisa pale alipoamua kuwa dark knight, yaani ile miaka ya u-rookie vigilante justice, ndo maana ukiangalia kuanzia costume, batmobile zinaonekana simple na sef made(hazipo sophisticated kama kwenye The DarkKnight,au Justice league, au BatmanVsSuperman). Kwa mantiki hiyo pia ilibidi hata actor awe kijana kidogo kumtofautisha na affleck. Katika comics za batman kuna moja zinaitwa "Batman;Year 1", ndo ide ya muvi imetoka huko.

Pia mkuu, ukiangalia muvi zote za batman ni hakuna hata moja(kama niko sahihi) ambayo ni his early years.
So mkuu, hawaja-reboot franchise, wanataka onesha before jamaa anavyoanza ilikuwaje, thats all.

Kwenye the flash, kama tutabahatika, wanaweza tuletea flashpoint.
Ahsante sana mkuu kwa maelekezo yako ila Ukweli siipendi cast ya Robert as Bruce Wayne
X-Men ni kama terminators na star wars

Chronological order zake hazimake sense
Mbona mm nazielewa vuzuri tu hasa X-Men.
story za hizi movie za marvel zinaanzia movie gani??
Anzia Iron Man... Ukifika Spiderman no way home angaia kwanza Spiderman 1
binafsi nachagua character ya winter soldier, the man is ruthless,great fighter,self motivator yani jamaa namkubali sana
Hongera sana...Karibu AntiHero Winter soldier

Back
Top Bottom