Marvel Cinematic Universe special thread

Kuna hatihati kuna character atakufa kwenye Thor love and thunder

Anaweza akawa Thor Mwenyewe

Ila hiyo ni theory tu
 
Wakimuua wataniumiza sana Thor ni my Crush of all the time.... Maumivu ya kujua ndio Movie yake ya mwisho hayajapona halafu wakimuua tena daaah!
[emoji31][emoji31][emoji24][emoji24]
 
Pole sana

Mi walivyomuondoa Yondu udonta walizingua sana

Sasa zamu yako [emoji2]

Na kwenye GOTG VOL 3 pia spoilers wanasema za ndani ndani kuna hati mmoja katika Gang naye anakufa
 
Kila mtu na favourite wake. Mimi ilikuwa Black Widow.
 
Wakimuua wataniumiza sana Thor ni my Crush of all the time.... Maumivu ya kujua ndio Movie yake ya mwisho hayajapona halafu wakimuua tena daaah!
[emoji31][emoji31][emoji24][emoji24]
Wasimuue wampe Happy ending na naomba wasimuue Valkyrie tafadhali
 
Pole sana

Mi walivyomuondoa Yondu udonta walizingua sana

Sasa zamu yako [emoji2]

Na kwenye GOTG VOL 3 pia spoilers wanasema za ndani ndani kuna hati mmoja katika Gang naye anakufa
Wasipomuua Rocket basi I’m cool with yeyote atakaekufa... sio die hard Fan wa GOTG sema napenda utani wao mwingi & soundtracks ndio zinazosababisha niangalie
 
Sema Sam watu watamuelewa ikitoka cap America movie Kone interview mmoja Nat Moore vp wa marvel alisema Sam inabidi aearn io title
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…