Marvel Cinematic Universe special thread

ile Energy drink anayotangaza A-train (turbo rush) ingekuwa inauzwa ningenunua

Halafu mnakumbuka ile kesi ya pepsi kwenye tangazo lao kuwa controversial

Hivi mme notice tangazo la A-train linafanana na lile la pepsi ambalo walipata kesi ya kuwa racists... tangazo lilifanywa na Jenner(mmoja wao siwajuagi kuwatofautisha)... ambae mpaka aliomba msamaha kilikuwa kizaazaa
 
Kendall Jenner naikumbuka hiyo ishu ilikua mwaka 2017 kama sikosei.... Ni kweli lile Tangazo la A Train wamechukua idea ya ile case ila wao wamemuweka Black
 
Kendall Jenner naikumbuka hiyo ishu ilikua mwaka 2017 kama sikosei.... Ni kweli lile Tangazo la A Train wamechukua idea ya ile case ila wao wamemuweka Black
Yes ni huyo, unaikumbuka vizur sana hivyo hivyo

aisee nashukuru huu uzi nikiangalia Movie huwa na pick some details ambazo watu wengi hawazielewi inakuwa taabu kidg maana hauna mtu wa kuongea nae... ila ahsante kwa huu uzi nimewapata wenzangu

Nilikuwa na jamaa yangu ambae alikuwa anaona kama mm tukawa tuna review movies eye to eye...sasa hivi hatupatani tuko maadui... maisha yanakupa suprise sometimes[emoji28]

I just wanna find a woman ambae yuko interesting kama Dream Queen
 
Nakuelewa uzuri kabisa,
Nimekulia kwenye Familia ya Wapenda Movies, nakumbuka enzi hizo ndugu zangu wanakesha kuangalia Movies, mie naogopa kwenda kulala peke yangu basi inabidi nikae hapo natumbua macho hadi nalala, kaka zangu walikua wanakwazika kunibeba kunipeleka chumbani sababu ikitokea Mama kanikuta nimelala pale Msala kwao, na kuangalia Movies usiku ni kwa huruma yangu niking'ang'ania inabidi wote waachwe waangalie, last born raha [emoji1787]

Napenda kuangalia Movie kwa umakini sana kama nimechoka bora niache niangalie siku nyingine lakini sio kupitwa na mambo mbali mbali ikiwemo makosa, sasa Mtu anaangalia Movie huku ana chat saa ngapi ata catch vitu muhimu.
 
Hahah childhood yako inaonekana uliitendea haki...

Siipendi hiyo tabia unaangalia Movie mtu yuko ana chati halafu baadae anakuuliza huyu katokea wapi?, mara huyu si ndugu yake, baba ake alikufa eh..? Maswali ya kipuuzi inabid uwe mpole tu 😅

nkichokaaga movie huwa naiangalia baadae au kesho maana navyoangalia huwa na process mambo mengi utafikir nasoma au something 😁
 
Jorge WIP thanks veey much pal for recommending Ricky and Morty, niliimaliza kitambo and I enjoyed it to the Extent.
Now nimeanza kutazama anime ya Attacks on Titan, ni series nzuri sana nimeipenda. Paula Paul I think you should watch this japo ni ndefu sana kila season ina Episodes 25 xS5.
 
Asante Dear. Hio unayoangalia ni English dub version? Ama unatumia sub?
 
Kwenye comics Butcher ni mtu wa British ndio maana anaongea hiyo rafudhi. Lakini mwigizaji Karl Urban anstokea New Zealand. Lsfudhi hiyo ni ya kuigizia tu,kwenye thor na Lord of the rings hakua anaongea hivoView attachment 2276058

Naomba kuuliza hivi hawa super heroes mbona wanauwa watu badala ya kuwapeleka police
Kwenye hii series ya the Boys
 
Naomba kuuliza hivi hawa super heroes mbona wanauwa watu badala ya kuwapeleka police
Kwenye hii series ya the Boys
Hiyo ndio maana ya hii series kwamba wanajifanya superhero kumbe ni wauaji they only care about money.
Upo episode ipi??
 
Unajitahidi asee. Unaielewa au unaona nyota nyota. Uulize usipoelewa Dina
Sielewi dhumuni lá homelander anauza tu watu ,na huyo kundi la butcher wataweza kushindana na hawa majambazi superhero kuna wale watu kwenye ndege homelander alifanyamakusudi kabisa wakafa wote
 
Natamani nijue pia character ya Ms marvel kwenye comics Leo nimeangalia episode ya 4 Kamala amerudi Pakistan kwa bibi yake ,Sasa wale villains wanataka Nini hasa kutokea kwenye bracelet ya Kamala?
 
Basi preference tu tumetofautiana. Napenda tu vitu natural. Recommend me anime uzipendazo Setsuko
Don't worry for forgetting about my stupid cake, even my parents they didn't remember.
so sorry bro
 
Duh hii series mm imegoma kwangu
Natamani nijue pia character ya Ms marvel kwenye comics Leo nimeangalia episode ya 4 Kamala amerudi Pakistan kwa bibi yake ,Sasa wale villains wanataka Nini hasa kutokea kwenye bracelet ya Kamala?
 
Ulikua sahihi sana, Character ya Clea imechezwa na my crush Charlize Theron.
 
Sielewi dhumuni lá homelander anauza tu watu ,na huyo kundi la butcher wataweza kushindana na hawa majambazi superhero kuna wale watu kwenye ndege homelander alifanyamakusudi kabisa wakafa wote
Superheroes wa hii series ya the boys hawajali kuhusu maisha ya watu wala kuokoa watu ila wanachojali ni pesa na umaarufu wa kupendwa na kutukuzwa. ni bullies wenye superpowers ukiondoa annie starlight.

Pale mwisho wa episode ya 4 season 1 homelander alisema kama NORAD (Shirika la ulinzi wa anga marekani) wangewaatarifu supes mapema kabla ya kurusha ndege za jeshi basi wangewahi kuwaokoa, na ili kutoruhusu tukio lingine kama lile basi waruhusu supes jeshini.
Maana yake homelander aliiacha ile ndege ianguke makusudi ili wapate mkataba wa jeshi na kuruhusu supes jeshini kitu ambacho kitapelekea wao kupokea mabillions ya funds za kutosha, hivyo mpango mzima ni sababu ya pesa tu.

Na hii kampuni ya vought imetengeneza hawa superheroes sio kwa ajili ya kusaidia watu bali kupata pesa na kuingiza faida ndio maana wana movies, midoli na comics it's just business. japo yenyewe ni pharmaceutical company.

Na huyu mshenzi homelander ni psychopath, man child na emotional unstable kutokana na malezi aliyopitia na ndio maana haoni tabu kuua, kwake ni mchezo tu.
 
Nimekupataaa asantee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…