Superman mbali yule mzee wa Invisible Omni Man angemaliza kila kituNi ngumu kuja na new idea ya superheroes na superpowers zinazomake sense tayari kila mtu anazo hivyo wanarudia zilezile.
Na most important ni kwamba The boys originally ilikuwa inatengenezwa na DC Comics under its imprint WildStorm na baadae kuwa moved to Dynamite Entertainment. So that makes a lot of sense, means kabla ya hapo the boys walikuwa connected na DC Universe.
Superman angemuweka Homelander in the ICU.
Kuna that move aliifanya wakati ameingia pale club kuchukua kile kidole stunt double wa pale aliluka utamu sana.Man from Miami safi sana aliwasumbua hao jamaa wawili. Mwishoni jamaa anapiga simu kuwa amemmisi debora wake.. Na yuko nje ya nyumba muvi nzuri. Inaonekana kunaweza kuwa na mwendelezo wale
Death stroke nguvu yake ni ana roho mbayaHalafu supes wengi wa “The boys” power zao ni kama DC’s Justice League
Homelander- Superman *DC
Deep - Aquaman *DC
Black Noir- Death stroke *DC
Meave- Wonder woman *Dc
A-train - The flash *DC
Starlight- Electro maybe sina uhakika[emoji28] * Marvel
Soldier boy- captain America *Marvel
Stromfront- Storm *Marvel
Ukiona sehemu ya kubadilishana rekebisha
Death stroke nguvu yake ni ana roho mbaya
Hahahahaah
By the way death stroke namfananisha mara nyingu na scorpion king,jamaa ana WILL ya hatari.
Kama uliangalia mortal Kombat scorpion revenge utanielewa
Omni man ana miaka zaidi ya 1000 na ana uzoefu mkubwa wa vita na mapambano.Superman mbali yule mzee wa Invisible Omni Man angemaliza kila kitu
The guy destroyed the freaking planet wakat Homelander gets sad when people dislike him
Yule jamaa sio, Thin Mark, thinkOmni man ana miaka zaidi ya 1000 na ana uzoefu mkubwa wa vita na mapambano.
Omni man ni warrior while Homelander ni bully.
Kuna Channel ya YouTube inaitwa Death Battle hawa jamaa wanaelezea nguvu za kila superhero na nani atashinda then mwishoni wanaonyesha animation ya pambano.
kuna video moja ni Omni Man vs Homelander, aisee walichomfanya Homelander mule ndani sio na kwakua Homelander anapenda sana kuongea basi Omni Man akamvunja taya na kumlisha moyo wake it's was real diabolical.
Ms. Marvel imekaa kitoto ila kinachonifanya niangalie series au movie sio tu userious wa show au story bali mostly for the fun and enjoyment kama "Hawkeye" hakuna kilichokuwa serious mule ndani lakini it was fun watching it especially hailee steinfeld burning the screen with her anusual hotness, considering nilikuwa natazama nickelodeon kila siku back in the days.Watu wengi hawajaipenda series ya Ms.Marvel Kwamba imekaa kitoto hasa kwakua zimetoka wakati mmoja na Series ya The Boys, ukilinganisha na The boys utaaona ni ya hovyo kweli maana ipo genre ya Teen na PG 13. Binafsi mimi nimeipenda story yake kwakua hii story yake inaunganisha muvi nyingi zijazo. Eleweni kwamba kama mtu hatatazama series hii basi hataweza kuelewa Captain Marvel 2, Shang Chi 2 na series ya Secret Invasion.... Nitaelezea kadri nilivyoelewa hii series na theory yangu juu ya Muvi zijazo.
View attachment 2279241
Let's roll....
Inhumans ni specie ya Superhuman ambao makazi yao ni Mwezini/Attilan, mtu akifikisha miaka fulani hupitishwa kwenye Process fulani inaitwa Terrigenesis ambapo kijana anawekewa kitu kinaitwa Terrigen Mist .Lakini kuna Inhumans wengine wamepata nguvu bila kuwekewa hizo Terigen Mist... Hicho ndio kinatoa nguvu zao. Mfalme wa Inhumans anaitwa Blackngar Boltagon (Black Bolt) ambae sauti yake inaweza kuharibu kila kitu. Hopefully mlimuona kwenye Multiverse of madness, Ilinibidi niangalie Season ya Inhumans maana nilikua sijaitazama tofauti na Agents of shield.
Captain marvel ni kundi linaloundwa na superhero kadhaa wengi wakiwa wa kiume (kama sijasahau ) members wake ni Mar-Vell, Monica Rambeau, Genis-Vell, Phyla-Vell, Khn'nr, Noh-Varr na
Carol Danvers. Katika kundi hili ni Monica na Carol ndio wenye asili ya duniani/Human Race waliobaki hapo Kree race. Sasa hawa superhero wengi wamepata nguvu kwa kutumia Technology za Kree au Genetic modification kutoka hukohuko Kree.
Ms Marvel...
Kama tulivyoona kwamba kundi la Captain marvel liliundwa zaidi na wanaume, bali pia kundi hili la Ms marvel ni kundi la superhero wa kike ambao walipata nguvu kupitia Tech's za Kree. Kundi hili linaundwa na Carol Danvers,Kamala Khan, Sharon Ventura na Karla Sofen.
Kamala Khan ni race ya Inhuman ambapo nguvu zake ni kurefusha baadhi ya viungo vyake kama shingo,miguu,mikono nk, anaweza kuukuza mwili wake na kuufanya uwe mdogo kama ant man au anaweza kujikondesha kama karatasi, anaweza kujibadirisha kua mtu mwingine kama Skrulls, anaweza kubadirisha umbo lake na kutengeneza umbo lolote kama vile Venom
Sasa...
Kwenye Series imeonyeshwa amevaa bracelet mkononi toka kwa bibi yake ambae anaiita Bangle ambapo inamuwezesha kuwa na uwezo huo nilioutaja hapo juu. Kamala asili yake kwenye Comics ni Inhumans ila kwenye Series hawajaonyesha kama ni inhumans...Ila kwenye Episode 2 wakati Kamala anafanya majaribu ya nguvu zake kwa kutumia ile bangel rafiki yake Bruno alimwambia kwamba inaonyesha kua nguvu zake hazitoki kwenye Bangle bali inatoka ndani ya mwili wake so hiyo inatutaarifu kua Kamala ana nguvu zake tayari ila hazitoki kwenye bangle kama nilivyosema Kamala ni Inhuman.
Wakuu natumaini mnajua kua Kamala Khan atakuwepo kwenye muvi ya Captain Marvel 2, hivi mlishswahi kujiuliza kwanini Caro Danvers alikua kwenye Post Credit ya Shang Chi wakichunguza zile rings.?? Hapo ndio kuna connection haswa... Haikutokea bahati mbaya Carol kuwepo pale .
Kwenye flashback Episode 3 miaka ya 1940s ilionyesha watu wapo kweye pango wanatafuta hiyo bangle wakaikuta kwenye mtu mwenye mkono wa Blue ambae hatukuona sura yake...Na kubwa zaidi wale watu walikua wamesimama kwenye alama/nembo kama za Bendera ya Ten Rings. Nadhani mnaifahamu.
View attachment 2279240
View attachment 2279242
Sasa inafahamika kwamba kwenye Marvel Universe viumbe wenye rangi ya blue ni Kree, so inawezekana mkono wa mtu huyo ni Kree.
Katika kundi la Captains Marvel kuna mtu anaitwa Mar-Vell , Mar-Vell jina lake halisi ni Walter Lawson ambae kwenye muvi ya Captain Marvel 2019 walimbadiri kua mwanamke na kumuita Dr. Wendy Lawson au Supreme Inteligence
Mar-Vell alikua anatumia kifaa kinachoitwa Universal Beam ambacho kilimuwezesha kua na nguvu za kukontrol usumaku, kupaa, speed nk kifaa hichoalikibadirisha na kuwa anakivaa mkononi akakiita Nega Band.
So kama kwenye series wameonyesha Bangle anayovaa Kamala ilitolewa kwenye kiumbe chenye rangi ya blue ambacho naamini ni kree basi nahisi pia hiyo Bangle ndio hiyo NegaBand aliyokua anaitumia Walter Lawson.
So kuna uhusiano mkubwa kati ya Bangle ya Kamala na Rings za Shang Chi ndio maana Carol Danvers alikueepo kwenye Post Credit scene.
View attachment 2279239
Series bado inaendelea ngoja tuone itatuonyesha nini hasa ikiisha, series haipo bomba kivile ila story yake tu inavutia coz inaunganisha na muvi zijazo so vumilieni muiangalie msiwe kama yule jamaa aliyekua anaulizia kuhusu watoto wa Wanda.
Kama sijaeleweka ulizeni wenye maswali.
I'm happy to Comply!
Cc
Dinazarde Dream Queen Marc Spector Jorge WIP Kimura_shinji thephilanthropist bravocharlie
Nimepata mwanga Sasa, ngoja tusubir episode ya 5Watu wengi hawajaipenda series ya Ms.Marvel Kwamba imekaa kitoto hasa kwakua zimetoka wakati mmoja na Series ya The Boys, ukilinganisha na The boys utaaona ni ya hovyo kweli maana ipo genre ya Teen na PG 13. Binafsi mimi nimeipenda story yake kwakua hii story yake inaunganisha muvi nyingi zijazo. Eleweni kwamba kama mtu hatatazama series hii basi hataweza kuelewa Captain Marvel 2, Shang Chi 2 na series ya Secret Invasion.... Nitaelezea kadri nilivyoelewa hii series na theory yangu juu ya Muvi zijazo.
View attachment 2279241
Let's roll....
Inhumans ni specie ya Superhuman ambao makazi yao ni Mwezini/Attilan, mtu akifikisha miaka fulani hupitishwa kwenye Process fulani inaitwa Terrigenesis ambapo kijana anawekewa kitu kinaitwa Terrigen Mist .Lakini kuna Inhumans wengine wamepata nguvu bila kuwekewa hizo Terigen Mist... Hicho ndio kinatoa nguvu zao. Mfalme wa Inhumans anaitwa Blackngar Boltagon (Black Bolt) ambae sauti yake inaweza kuharibu kila kitu. Hopefully mlimuona kwenye Multiverse of madness, Ilinibidi niangalie Season ya Inhumans maana nilikua sijaitazama tofauti na Agents of shield.
Captain marvel ni kundi linaloundwa na superhero kadhaa wengi wakiwa wa kiume (kama sijasahau ) members wake ni Mar-Vell, Monica Rambeau, Genis-Vell, Phyla-Vell, Khn'nr, Noh-Varr na
Carol Danvers. Katika kundi hili ni Monica na Carol ndio wenye asili ya duniani/Human Race waliobaki hapo Kree race. Sasa hawa superhero wengi wamepata nguvu kwa kutumia Technology za Kree au Genetic modification kutoka hukohuko Kree.
Ms Marvel...
Kama tulivyoona kwamba kundi la Captain marvel liliundwa zaidi na wanaume, bali pia kundi hili la Ms marvel ni kundi la superhero wa kike ambao walipata nguvu kupitia Tech's za Kree. Kundi hili linaundwa na Carol Danvers,Kamala Khan, Sharon Ventura na Karla Sofen.
Kamala Khan ni race ya Inhuman ambapo nguvu zake ni kurefusha baadhi ya viungo vyake kama shingo,miguu,mikono nk, anaweza kuukuza mwili wake na kuufanya uwe mdogo kama ant man au anaweza kujikondesha kama karatasi, anaweza kujibadirisha kua mtu mwingine kama Skrulls, anaweza kubadirisha umbo lake na kutengeneza umbo lolote kama vile Venom
Sasa...
Kwenye Series imeonyeshwa amevaa bracelet mkononi toka kwa bibi yake ambae anaiita Bangle ambapo inamuwezesha kuwa na uwezo huo nilioutaja hapo juu. Kamala asili yake kwenye Comics ni Inhumans ila kwenye Series hawajaonyesha kama ni inhumans...Ila kwenye Episode 2 wakati Kamala anafanya majaribu ya nguvu zake kwa kutumia ile bangel rafiki yake Bruno alimwambia kwamba inaonyesha kua nguvu zake hazitoki kwenye Bangle bali inatoka ndani ya mwili wake so hiyo inatutaarifu kua Kamala ana nguvu zake tayari ila hazitoki kwenye bangle kama nilivyosema Kamala ni Inhuman.
Wakuu natumaini mnajua kua Kamala Khan atakuwepo kwenye muvi ya Captain Marvel 2, hivi mlishswahi kujiuliza kwanini Caro Danvers alikua kwenye Post Credit ya Shang Chi wakichunguza zile rings.?? Hapo ndio kuna connection haswa... Haikutokea bahati mbaya Carol kuwepo pale .
Kwenye flashback Episode 3 miaka ya 1940s ilionyesha watu wapo kweye pango wanatafuta hiyo bangle wakaikuta kwenye mtu mwenye mkono wa Blue ambae hatukuona sura yake...Na kubwa zaidi wale watu walikua wamesimama kwenye alama/nembo kama za Bendera ya Ten Rings. Nadhani mnaifahamu.
View attachment 2279240
View attachment 2279242
Sasa inafahamika kwamba kwenye Marvel Universe viumbe wenye rangi ya blue ni Kree, so inawezekana mkono wa mtu huyo ni Kree.
Katika kundi la Captains Marvel kuna mtu anaitwa Mar-Vell , Mar-Vell jina lake halisi ni Walter Lawson ambae kwenye muvi ya Captain Marvel 2019 walimbadiri kua mwanamke na kumuita Dr. Wendy Lawson au Supreme Inteligence
Mar-Vell alikua anatumia kifaa kinachoitwa Universal Beam ambacho kilimuwezesha kua na nguvu za kukontrol usumaku, kupaa, speed nk kifaa hichoalikibadirisha na kuwa anakivaa mkononi akakiita Nega Band.
So kama kwenye series wameonyesha Bangle anayovaa Kamala ilitolewa kwenye kiumbe chenye rangi ya blue ambacho naamini ni kree basi nahisi pia hiyo Bangle ndio hiyo NegaBand aliyokua anaitumia Walter Lawson.
So kuna uhusiano mkubwa kati ya Bangle ya Kamala na Rings za Shang Chi ndio maana Carol Danvers alikueepo kwenye Post Credit scene.
View attachment 2279239
Series bado inaendelea ngoja tuone itatuonyesha nini hasa ikiisha, series haipo bomba kivile ila story yake tu inavutia coz inaunganisha na muvi zijazo so vumilieni muiangalie msiwe kama yule jamaa aliyekua anaulizia kuhusu watoto wa Wanda.
Kama sijaeleweka ulizeni wenye maswali.
I'm happy to Comply!
Cc
Dinazarde Dream Queen Marc Spector Jorge WIP Kimura_shinji thephilanthropist bravocharlie
Thanos na Ego walikuwa bad fathers lakini Nolan alikuwa real evil and super diabolical bad father.Yule jamaa sio, Thin Mark, think
Pia kuna character nimemwona yule dogo aliyekua na powers kwenye"into the badlands"naye yupo kwenye hii series.Ms. Marvel imekaa kitoto ila kinachonifanya niangalie series au movie sio tu userious wa show au story bali mostly for the fun and enjoyment kama "Hawkeye" hakuna kilichokuwa serious mule ndani lakini it was fun watching it especially hailee steinfeld burning the screen with her anusual hotness, considering nilikuwa natazama nickelodeon kila siku back in the days.
Kama ulivyosema kitu kuhusu Marvel ni kwamba kila movie na show ipo interconnected na vya baadae hivyo ukimiss kimoja basi umepotea, anyway as a die hard marvel fan I don't have a choice but to comply. nikipata muda nitaicheck nishuhudie.
Right now nipo na The Boys season 3 episode 4 nikimaliza huu moto nitahamia kwa Ms Marvel.
MCU au kwa jina lingine “The Most Expensive Tv show”Watu wengi hawajaipenda series ya Ms.Marvel Kwamba imekaa kitoto hasa kwakua zimetoka wakati mmoja na Series ya The Boys, ukilinganisha na The boys utaaona ni ya hovyo kweli maana ipo genre ya Teen na PG 13. Binafsi mimi nimeipenda story yake kwakua hii story yake inaunganisha muvi nyingi zijazo. Eleweni kwamba kama mtu hatatazama series hii basi hataweza kuelewa Captain Marvel 2, Shang Chi 2 na series ya Secret Invasion.... Nitaelezea kadri nilivyoelewa hii series na theory yangu juu ya Muvi zijazo.
View attachment 2279241
Let's roll....
Inhumans ni specie ya Superhuman ambao makazi yao ni Mwezini/Attilan, mtu akifikisha miaka fulani hupitishwa kwenye Process fulani inaitwa Terrigenesis ambapo kijana anawekewa kitu kinaitwa Terrigen Mist .Lakini kuna Inhumans wengine wamepata nguvu bila kuwekewa hizo Terigen Mist... Hicho ndio kinatoa nguvu zao. Mfalme wa Inhumans anaitwa Blackngar Boltagon (Black Bolt) ambae sauti yake inaweza kuharibu kila kitu. Hopefully mlimuona kwenye Multiverse of madness, Ilinibidi niangalie Season ya Inhumans maana nilikua sijaitazama tofauti na Agents of shield.
Captain marvel ni kundi linaloundwa na superhero kadhaa wengi wakiwa wa kiume (kama sijasahau ) members wake ni Mar-Vell, Monica Rambeau, Genis-Vell, Phyla-Vell, Khn'nr, Noh-Varr na
Carol Danvers. Katika kundi hili ni Monica na Carol ndio wenye asili ya duniani/Human Race waliobaki hapo Kree race. Sasa hawa superhero wengi wamepata nguvu kwa kutumia Technology za Kree au Genetic modification kutoka hukohuko Kree.
Ms Marvel...
Kama tulivyoona kwamba kundi la Captain marvel liliundwa zaidi na wanaume, bali pia kundi hili la Ms marvel ni kundi la superhero wa kike ambao walipata nguvu kupitia Tech's za Kree. Kundi hili linaundwa na Carol Danvers,Kamala Khan, Sharon Ventura na Karla Sofen.
Kamala Khan ni race ya Inhuman ambapo nguvu zake ni kurefusha baadhi ya viungo vyake kama shingo,miguu,mikono nk, anaweza kuukuza mwili wake na kuufanya uwe mdogo kama ant man au anaweza kujikondesha kama karatasi, anaweza kujibadirisha kua mtu mwingine kama Skrulls, anaweza kubadirisha umbo lake na kutengeneza umbo lolote kama vile Venom
Sasa...
Kwenye Series imeonyeshwa amevaa bracelet mkononi toka kwa bibi yake ambae anaiita Bangle ambapo inamuwezesha kuwa na uwezo huo nilioutaja hapo juu. Kamala asili yake kwenye Comics ni Inhumans ila kwenye Series hawajaonyesha kama ni inhumans...Ila kwenye Episode 2 wakati Kamala anafanya majaribu ya nguvu zake kwa kutumia ile bangel rafiki yake Bruno alimwambia kwamba inaonyesha kua nguvu zake hazitoki kwenye Bangle bali inatoka ndani ya mwili wake so hiyo inatutaarifu kua Kamala ana nguvu zake tayari ila hazitoki kwenye bangle kama nilivyosema Kamala ni Inhuman.
Wakuu natumaini mnajua kua Kamala Khan atakuwepo kwenye muvi ya Captain Marvel 2, hivi mlishswahi kujiuliza kwanini Caro Danvers alikua kwenye Post Credit ya Shang Chi wakichunguza zile rings.?? Hapo ndio kuna connection haswa... Haikutokea bahati mbaya Carol kuwepo pale .
Kwenye flashback Episode 3 miaka ya 1940s ilionyesha watu wapo kweye pango wanatafuta hiyo bangle wakaikuta kwenye mtu mwenye mkono wa Blue ambae hatukuona sura yake...Na kubwa zaidi wale watu walikua wamesimama kwenye alama/nembo kama za Bendera ya Ten Rings. Nadhani mnaifahamu.
View attachment 2279240
View attachment 2279242
Sasa inafahamika kwamba kwenye Marvel Universe viumbe wenye rangi ya blue ni Kree, so inawezekana mkono wa mtu huyo ni Kree.
Katika kundi la Captains Marvel kuna mtu anaitwa Mar-Vell , Mar-Vell jina lake halisi ni Walter Lawson ambae kwenye muvi ya Captain Marvel 2019 walimbadiri kua mwanamke na kumuita Dr. Wendy Lawson au Supreme Inteligence
Mar-Vell alikua anatumia kifaa kinachoitwa Universal Beam ambacho kilimuwezesha kua na nguvu za kukontrol usumaku, kupaa, speed nk kifaa hichoalikibadirisha na kuwa anakivaa mkononi akakiita Nega Band.
So kama kwenye series wameonyesha Bangle anayovaa Kamala ilitolewa kwenye kiumbe chenye rangi ya blue ambacho naamini ni kree basi nahisi pia hiyo Bangle ndio hiyo NegaBand aliyokua anaitumia Walter Lawson.
So kuna uhusiano mkubwa kati ya Bangle ya Kamala na Rings za Shang Chi ndio maana Carol Danvers alikueepo kwenye Post Credit scene.
View attachment 2279239
Series bado inaendelea ngoja tuone itatuonyesha nini hasa ikiisha, series haipo bomba kivile ila story yake tu inavutia coz inaunganisha na muvi zijazo so vumilieni muiangalie msiwe kama yule jamaa aliyekua anaulizia kuhusu watoto wa Wanda.
Kama sijaeleweka ulizeni wenye maswali.
I'm happy to Comply!
Cc
Dinazarde Dream Queen Marc Spector Jorge WIP Kimura_shinji thephilanthropist bravocharlie
Hawkeye mbona ilikua bomba hasa Ep4 Yelena alivyokua anatembeza mkono..Ms. Marvel imekaa kitoto ila kinachonifanya niangalie series au movie sio tu userious wa show au story bali mostly for the fun and enjoyment kama "Hawkeye" hakuna kilichokuwa serious mule ndani lakini it was fun watching it especially hailee steinfeld burning the screen with her anusual hotness, considering nilikuwa natazama nickelodeon kila siku back in the days.
Kama ulivyosema kitu kuhusu Marvel ni kwamba kila movie na show ipo interconnected na vya baadae hivyo ukimiss kimoja basi umepotea, anyway as a die hard marvel fan I don't have a choice but to comply. nikipata muda nitaicheck nishuhudie.
Right now nipo na The Boys season 3 episode 4 nikimaliza huu moto nitahamia kwa Ms Marvel.
Mkuu ilibidi nitazame Series ya Inhumans ajili yenu nilikua sijawah kuitazama😅Nimepata mwanga Sasa, ngoja tusubir episode ya 5
Series zao bajeti hua kuanzia 100-200M$ niMCU au kwa jina lingine “The Most Expensive Tv show”
Inabid uangalie baadhi ya Series ili uelewe projects zijazo, wanapata watu kwenye series kwa sababu ya huu ujanja s.o.b
Shukrani Sana hapo Sasa itakua tamu,nachopenda pia ni Ile accent Yao ya kihindi afu familia wanamwona n weirdo 😂Mkuu ilibidi nitazame Series ya Inhumans ajili yenu nilikua sijawah kuitazama😅
Nimeangalia vipande vinne ili nisikosee kwenye maelezo hasa nikihusianisha na Inhumans waliopo kwenye Agent of Shield
Bro, supes wa the boys ni twisted version ya justice league. ni justice league ila "what if?"Halafu supes wengi wa “The boys” power zao ni kama DC’s Justice League
Homelander- Superman *DC
Deep - Aquaman *DC
Black Noir- Death stroke *DC
Meave- Wonder woman *Dc
A-train - The flash *DC
Starlight- Electro maybe sina uhakika😅 * Marvel
Soldier boy- captain America *Marvel
Stromfront- Storm *Marvel
Ukiona sehemu ya kubadilishana rekebisha
kuna wana nilikuwa nabonga nao, wakasema homelander atamtembezea kichapo superman, niulibaki nacheka tu.Ni ngumu kuja na new idea ya superheroes na superpowers zinazomake sense tayari kila mtu anazo hivyo wanarudia zilezile.
Na most important ni kwamba The boys originally ilikuwa inatengenezwa na DC Comics under its imprint WildStorm na baadae kuwa moved to Dynamite Entertainment. So that makes a lot of sense, means kabla ya hapo the boys walikuwa connected na DC Universe.
Superman angemuweka Homelander in the ICU.
bro, kwa omni man umeenda mbali sana, jamaa aliua team yake yote, akapiga mtoto wake kipigo kitakatifu kama kile, then aje akutane na homelander. homelander atafanywa mbaya sana.Superman mbali yule mzee wa Invisible Omni Man angemaliza kila kitu
The guy destroyed the freaking planet wakat Homelander gets sad when people dislike him
Niliangaliaga episode moja sijui mbili nikaachaga iliniboa yupo Ramsey mle wa GOT ugaidi kama kawaidaMkuu ilibidi nitazame Series ya Inhumans ajili yenu nilikua sijawah kuitazama😅