brAin cRacker
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 590
- 767
Haina source material hii , pia hata ya Kwanza mafanikio yake NI kutokana na CGI kuwa nzuri story ya kawaida Saana ,Kama hata hii ya pili,3,4 zitategemea Sana visual zitaibeba washafeli. Avatar vS infinity ?Tatizo sio visuals mkuu, tatizo story itakapoelekea. Avatar2 inakubalika, hiyo ya 3,4 na 5 ndo ishu itakapokuja huko. Ndani ya miaka 6 ijayo kuna avatar movies 3.
Mkuu labda niulize, source material ya avatar ni ipi?
Sasa, indiana jones watamleta nani?Great actor.View attachment 2388252
Mkuu, mpaka sasa wapo wanashoot Avatar 4. 2&3 tayariTatizo sio visuals mkuu, tatizo story itakapoelekea. Avatar2 inakubalika, hiyo ya 3,4 na 5 ndo ishu itakapokuja huko. Ndani ya miaka 6 ijayo kuna avatar movies 3.
Mkuu labda niulize, source material ya avatar ni ipi?
It's a masterpiece wala usiwajali. Uzuri ni kwamba Ep9 ilikua kama jinsi Jen alivyokua anafanya kwenye comics. Alikua anawafokea waandishi kwamba wanampa stori mbaya, Villains wabaya nkWatu wameiponda vibaya mno final episode ya she-hulk mbona sikuona shida sana, au nshazoea kuangalia garbages 😅
It's a masterpiece wala usiwajali. Uzuri ni kwamba Ep9 ilikua kama jinsi Jen alivyokua anafanya kwenye comics. Alikua anawafokea waandishi kwamba wanampa stori mbaya, Villains wabaya nk
carry onWana MCU special thread nimewaaandalia special Presentation kuhusu Black Panther
All hope is not lost kwa dc, asante mkuu.Watched black adam..
Pierce Brosnan killed it as doctor fate. So did Aldis Hodge as hawkman.
The superman cameo was spot on.
Not lost chief. Wakiendelea hivi tutapata upinzani mzuri na movies zitakuwa bora zaidi. Marvel walianza jisahauAll hope is not lost kwa dc, asante mkuu.
So what's gonna be? AntmanTrailer la Ant Man- Wasp in the Quantamania limeachiwa.