Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #221
Naam niliwahi kusoma Comic version ya Echo kipindi alipotangazwa kua atakua kwenye series. Though ni adopted daughter wa Kingpin ila alikuja kua mpenzi wa Daredevil.Cox ni Embodiment ya Daredevil...yeah nmeanza kuangalia niko halfway episode ya pili ila mpaka sasa sijapata ile kimbiza kimbiza niliyoifikiria.
kiukweli mm ni shabik mkubwa wa Hawkeye naomba asiniangushe ukizingatia Christmas [emoji319] ndio wakati wangu pendwa wa mwaka.
Kiukweli bado sijapata kile nilichotegemea kwenye Hawkeye ukizingatia Clint uwezo wake wa kupigana.
Tuipe muda, ngoja tuone Ep3 tarehe 1.Nategemea itakuwa inaendelea kuchangamka kila episodes ...kama ulivyosema tuipe mda.
quick question, are you british?
Sorry swali lako sijalielewa vizuri.. liweke vizuri nitakujibu✌️