Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Cox ni Embodiment ya Daredevil...yeah nmeanza kuangalia niko halfway episode ya pili ila mpaka sasa sijapata ile kimbiza kimbiza niliyoifikiria.
kiukweli mm ni shabik mkubwa wa Hawkeye naomba asiniangushe ukizingatia Christmas [emoji319] ndio wakati wangu pendwa wa mwaka.
Naam niliwahi kusoma Comic version ya Echo kipindi alipotangazwa kua atakua kwenye series. Though ni adopted daughter wa Kingpin ila alikuja kua mpenzi wa Daredevil.
Kiukweli bado sijapata kile nilichotegemea kwenye Hawkeye ukizingatia Clint uwezo wake wa kupigana.
Nategemea itakuwa inaendelea kuchangamka kila episodes ...kama ulivyosema tuipe mda.
quick question, are you british?
Tuipe muda, ngoja tuone Ep3 tarehe 1.
Sorry swali lako sijalielewa vizuri.. liweke vizuri nitakujibu✌️
 
Naam niliwahi kusoma Comic version ya Echo kipindi alipotangazwa kua atakua kwenye series. Though ni adopted daughter wa Kingpin ila alikuja kua mpenzi wa Daredevil.
Kiukweli bado sijapata kile nilichotegemea kwenye Hawkeye ukizingatia Clint uwezo wake wa kupigana.

Tuipe muda, ngoja tuone Ep3 tarehe 1.
Sorry swali lako sijalielewa vizuri.. liweke vizuri nitakujibu[emoji3577]

Itakuwa moto zaidi akija Murdock, Echo wake pamoja na Boss Kingpin wakifanya hivyo wataongeza mashabiki mpaka wale wa daredevil watajoin the club plus series itazid kupaaa..maana Hawkeye kuna wengine hawampendagi japo kuwa Clint ni archer hatari sana

Cast ya Eternals walikuwa wanacheza quiz kuhusu Mcu walivyoambiwa Clint Barton ni Hawkeye wakawa wanacheka kuhusu jina lilivyo.. kila mmoja akacheka nkawa najiuliza kwani mtu akiitwa clint.. ni vibaya au ni joke au ni nn anyway sikuelewa logic behind

Kuhus question nimeona unatumia Mate... hey mayt... na sio brother, bro au dude n.k maana hilo neno hatulitumiagi sana, well labda kama ulikaa sana na wabritish
 
They treated Clint like he's nothing in mucu maybe kwakua hana super power and so does Daredevil ila yeye anapendwa.
Mm ni fan wa Jeremy Renner nikiona muvi yupo basi najua ni nzuri.

PS: Kama hutajali fungus uzi utakaohusu wasomaji wa Comics kwakweli napenda comics sana hunilia muda wangu sana kuzisoma.. Ukiweza anzisha mada It'll be Great, ili tuwachumbue characters ambao hawajawepo MCU
Kuhus question nimeona unatumia Mate... hey mayt... na sio brother, bro au dude n.k maana hilo neno hatulitumiagi sana, well labda kama ulikaa sana na wabritish
Kukaa na wabritish Check! Ila kutumia neno mate kuna mdada wa kizungu alinizoesha kuita hivyo basi nikazoea mpaka leo.
 
PS: Kama hutajali fungus uzi utakaohusu wasomaji wa Comics kwakweli napenda comics sana hunilia muda wangu sana kuzisoma.. Ukiweza anzisha mada It'll be Great, ili tuwachumbue characters ambao hawajawepo MCU

Ningefungua sema sio mzuri sana kwenye comics nilivyokuwa mdogo nlkuwa sina access nazo,yeah hivyo
 
Imenibidi nikusanye MCU zote, DCU zote, Star Wars zote niziangalie kwa chronological orders[emoji855]

IMG_20211203_105308.jpg

IMG_20211203_105515.jpg

IMG_20211203_110041.jpg
 
Ningefungua sema sio mzuri sana kwenye comics nilivyokuwa mdogo nlkuwa sina access nazo,yeah hivyo
Mkuu juat fungua tu. Sio ajiki yako wala yangu naimani wapo wadau wengi humu pia, Itapendeza sana
 
Umejitahidi kabisa kwa mtiririko muvi ambazo sina hapo kwa marvel
-Spiderman 1&2
Amaizing spiderman 1
Hulk
Kwa dc..
Nina batman zote za christian bale
Sina tu bird of prey na suicide squad maana sikuzipenda

Star wars sijawahi kuzipenda wala kuzielewa
Ilibidi tuu niziweke kwenye chronological orders maana zamani nilikuwa naangaliaga randomly mwisho wa siku nakosa kuelewa mtiririko ukoje.

Star Wars nilizitafuta zote baada ya kuangalia The Mandalorian, ukitaka uielewe inabidi uwe umeangalia Star Wars.
 
Duh unejitahid kuzipanga aisee Uko vizuri, sema star wars nahis sio chimbo langu mimi ni wa star trek japo sio popular opinion
Hizi bado sijaanza kuziangalia, za miaka ya karibuni nilizicheki ila hizo za miaka ya 1970s' nitazitafuta.

Screenshot_20211204-094211.jpg
 
Hawkeye episode 3 ni hatari sijapata ona yaani unakuwa emotional, unapata action sequence unapata comedy kidogo kwa ufupi ni full package. sasa hii show nahis inaenda kuwa series yangu pendwa, MCU wamemu introduce echo for few minutes na imekuwa satisfying kuliko masaa mawili ya introduction ya Eternals

Kama walijua nilitaka More Arrows nao wakaleta
 
Back
Top Bottom