Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Naomba wasimuue tu maana kukiwa Strange Supreme akiwa anafight alongside strange dah sitapati picha. Zile Ten rings zitaplay part kama unavyosema credit scene ni mwanzo wa movie nyingine

MCU ni huge yaani kila siku naona ndio we are getting started it keeps getting better and better sema ila credit scene ya Eternals Harry styles yeye kama eternal mbona niliona kama ni uamuz wa hatari hivi
Inawezekana maana

Multiverse war ni ya kang na anajaribu ku set matukio ili kuleta chaos maana ana uwezo wa time travel so Kama starange atakuwa threat na obstacle kwake anaweza kumfungia

Maana pia ye ndio aliiweka zile rings kwenye tombs baba ake Shang chi akazikuta akaazisha organization crimes ten rings hapo lengo la chaos linatimia kwake kwenye comics wanasema alizukuta kwenye alien ship ya mukullan race sasa pale mwishoni kwenye end credit scene Dr banner na Wong na Denver walikuwa wanasema hazijulikani zina mda gani zaidi ya ma 1000 na kuzid na kang nae anatoka 31st century na pale mwishoni zilikuwa zinasend signal Shaun anauliza kwa nani ? [emoji1787] Hawajui

Ila hapo sasa ni kwa mzee mzima kang au mukullan race waje hapo hatujajua

Sasa sijajua na lile jambazi Dr strange supreme atauliwa au itakuwaje maana kwenye season ya what if halikufa instead lilibadili moyo liliamua nalo ku protect multiverse sasa sijajua kwenye DS 2 wataungana against kang au vip na pia bado hii na chairman wa marvel Kevin feige amesema ile season ni canon to other marvel movies ita relate kwa kiasi kikubwa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Aisee Strange supreme sio jambazi ni powerful tu kwasababu alizipata nguvu kwa njia isiyo halali na kusababisha dunia yake kuharibika. Hicho ndio kinawafaya watu wamuone ni adui ila kiuhalisia sio adui. Natumaini kwenye Multiverse of madness wanaweza kushirikiana. Nina wasiwasi American Chavez atamuondoa Doctor Strange (Replace)

Btw Kang naona sio adui kivile, au kwakua huyu wa kwenye Loki alikua Cool
 
Huyu kwenye loki alikuwa sio jambazi sema silvie kisasi chake ndio kime cost watu yeye kuwepo pale ilikuwa ni muhimu kuprotect timeline na ku prevent multiverse war ndio maana akawaambia

If you think I'm evil, well, just wait till you meet my Variants.

Ambaye sasa another version of him ndio kuna kang the conquer [emoji2]

Na huyu jamaa kutoka karne ya 31 ni ruthless ni mtu hatari sana kwanza anataka kwenye multiverse awe peke ake kabla ya kufanya total domination
 
Naomba wasimuue tu maana kukiwa Strange Supreme akiwa anafight alongside strange dah sitapati picha. Zile Ten rings zitaplay part kama unavyosema credit scene ni mwanzo wa movie nyingine

MCU ni huge yaani kila siku naona ndio we are getting started it keeps getting better and better sema ila credit scene ya Eternals Harry styles yeye kama eternal mbona niliona kama ni uamuz wa hatari hivi
Halafu wame introduce character wawili kutoka kwenye comics hatari sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wange re-cast maisha yasonge tu.
Eeh sio dhambi kufanya hivyo Spartacus mbona maisha yalienda tu baada ha kufariki jamaa au F&F kama vip watengeneze Booseman wa AR

Kuna hii Technology wanaitumia sku hiz Augumented reality mpaka Wasanii wa Zaman kama Michael & Whitney wanaonekanaga live wanapiga show japo sijaijua in deep
 
Nasikia Tom cruise ndo anakuja kuwa New Iron Man
20220124_133055.jpg
 
Siwez nkasema mpaka nione itakuwaje ila nahis kama RDJ ndio Tony stark jamaa yule alikuwa ni embodiment ya ile character kila kitu

Ingekuwa mm kevin Fiege ningemtafute Elon Musk awe new Iron man [emoji28]... nahis ingekuwa mind blowing
[emoji3][emoji3][emoji3]nasikia Tom anaanza kuonekana kwenye DOCTOR STRANGE
 
Nasikia Tom cruise ndo anakuja kuwa New Iron Man View attachment 2093840

Siwez nkasema mpaka nione itakuwaje ila nahis kama RDJ ndio Tony stark jamaa yule alikuwa ni embodiment ya ile character kila kitu

Ingekuwa mm kevin Fiege ningemtafute Elon Musk awe new Iron man [emoji28]... nahis ingekuwa mind blowing

[emoji3][emoji3][emoji3]nasikia Tom anaanza kuonekana kwenye DOCTOR STRANGE
Hayo ni maneno tu sioni kama kuna ulazima wa kumrudisha Tony as a character. Lakini kwenye hii muvi kila kitu anasema chake kuhusu kuwepo kwa actor wa zamani. Kikubwa tuombe uhai...May sio mbali.

PS. Mkuu ahsante kwa series ya Ricky and morty nimeeipenda sana it's so funny.
Nipo S3 now!

[emoji3][emoji3][emoji3]nasikia Tom anaanza kuonekana kwenye DOCTOR STRANGE

Nimeskia na Tobey Maguire anaweza akaonekana Kwa cameo maana Sam raimi aliyetengeneza Spider za Maguire ndio anahusika kwa MoM kwahiyo it make perfect sense kwa Tobey kurud tena alongside na John Kransinki kama variant ya Mr Fantastic

IMG_0988.jpg
 
Siwez nkasema mpaka nione itakuwaje ila nahis kama RDJ ndio Tony stark jamaa yule alikuwa ni embodiment ya ile character kila kitu

Ingekuwa mm kevin Fiege ningemtafute Elon Musk awe new Iron man [emoji28]... nahis ingekuwa mind blowing
Elon si alipata comeo kwenye Iron man two kama sikosei
 
PS. Mkuu ahsante kwa series ya Ricky and morty nimeeipenda sana it's so funny.
Nipo S3 now!

Ricky and Morty hahah ni iko inachekesha sana na jokes zake ziko smart nachoipendea pia wana curse alot[emoji28]

Episode ipi umeipenda zaid mpaka ulipofikia?
 
Ricky and Morty hahah ni iko inachekesha sana na jokes zake ziko smart nachoipendea pia wana curse alot[emoji28]

Episode ipi umeipenda zaid mpaka ulipofikia?
Nimependa hizi
S1Ep1
Mwalimu anauliza
2+2 Morty anajibu Jessica
5+5 Tensica

S1Ep7
Mtoto wa morty akamvimbishia eti 'I rather breath poison than to live another minute with you'
S2ep1
Rick akasema eti 'Yes https://jamii.app/JFUserGuide you god not today bitch
 
S1Ep7
Mtoto wa morty akamvimbishia eti 'I rather breath poison than to live another minute with you'
S2ep1
Rick akasema eti 'Yes JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala you god not today bitch

Dah umenikumbusha aisee hiyo episode ana kitabu best seller titled my horrible father...

Halafu alivyokuwa anakimbia akawa anasema
“the government is lame, god is dead and thanksgiving is about killing Indians” nlicheka sio kawaida[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

umenkumbusha leo usiku ntarudia baadhi ya episode naipenda hii kitu sana...nahis i am weird
 
Back
Top Bottom