Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #321
Naomba wasimuue tu maana kukiwa Strange Supreme akiwa anafight alongside strange dah sitapati picha. Zile Ten rings zitaplay part kama unavyosema credit scene ni mwanzo wa movie nyingine
MCU ni huge yaani kila siku naona ndio we are getting started it keeps getting better and better sema ila credit scene ya Eternals Harry styles yeye kama eternal mbona niliona kama ni uamuz wa hatari hivi
Aisee Strange supreme sio jambazi ni powerful tu kwasababu alizipata nguvu kwa njia isiyo halali na kusababisha dunia yake kuharibika. Hicho ndio kinawafaya watu wamuone ni adui ila kiuhalisia sio adui. Natumaini kwenye Multiverse of madness wanaweza kushirikiana. Nina wasiwasi American Chavez atamuondoa Doctor Strange (Replace)Inawezekana maana
Multiverse war ni ya kang na anajaribu ku set matukio ili kuleta chaos maana ana uwezo wa time travel so Kama starange atakuwa threat na obstacle kwake anaweza kumfungia
Maana pia ye ndio aliiweka zile rings kwenye tombs baba ake Shang chi akazikuta akaazisha organization crimes ten rings hapo lengo la chaos linatimia kwake kwenye comics wanasema alizukuta kwenye alien ship ya mukullan race sasa pale mwishoni kwenye end credit scene Dr banner na Wong na Denver walikuwa wanasema hazijulikani zina mda gani zaidi ya ma 1000 na kuzid na kang nae anatoka 31st century na pale mwishoni zilikuwa zinasend signal Shaun anauliza kwa nani ? [emoji1787] Hawajui
Ila hapo sasa ni kwa mzee mzima kang au mukullan race waje hapo hatujajua
Sasa sijajua na lile jambazi Dr strange supreme atauliwa au itakuwaje maana kwenye season ya what if halikufa instead lilibadili moyo liliamua nalo ku protect multiverse sasa sijajua kwenye DS 2 wataungana against kang au vip na pia bado hii na chairman wa marvel Kevin feige amesema ile season ni canon to other marvel movies ita relate kwa kiasi kikubwa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Btw Kang naona sio adui kivile, au kwakua huyu wa kwenye Loki alikua Cool