I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Iron man: kwanza kabisa billionea, jiniasi, play boy, familia yangu nitaiweka kipaumbele, superhero.As marvel fans..Je nu character gani ungependa kuishuu maisha yake na kwanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iron man: kwanza kabisa billionea, jiniasi, play boy, familia yangu nitaiweka kipaumbele, superhero.As marvel fans..Je nu character gani ungependa kuishuu maisha yake na kwanini?
Iron man: kwanza kabisa billionea, jiniasi, play boy, familia yangu nitaiweka kipaumbele, superhero.
Hah kuna tom hardy na antman .. their sense of humour na relationship quarrels with their ex-s [emoji28][emoji28]tunaachana lkn bado tunabonga!!As marvel fans..Je nu character gani ungependa kuishuu maisha yake na kwanini?
Dr. Bruce BannerAs marvel fans..Je nu character gani ungependa kuishuu maisha yake na kwanini?
Dr. Bruce Banner
-mkimya, hana makuu, ilibaki kidogo a-date na Natasha Romannov, mwanafizikia
Lakini kwenye ile hulk ya kitambo sio kama jamaa aliweza kujicontrol kweli?Wewe najua umetaka kuwa Banner sababu ya Natasha [emoji28]
Sema huwa nawaza Banner akiwa kwenye kupiga mishe si blood flow inakuwa kubwa na heartbeat zinaongezeka hawez geuka Hulk ndani ya pus*y
Na mambo yakawa sio mambo
sema unasahau kitu kimoja, hulk kutokea anahitaji bruce awe katika immediate danger or anger. The outcome, i.e blood flow na heartbeat kuongezeka inaweza kuwa sawa, ila process iliyoleta hiyo outcome ni tofauti. yote hiyo inatufanya tucheki chanzo, "Hormones", zinazoleta hasira na furaha ni makundi mawili. Kwa hivyo mkuu, naamini hawezi geuka hulk when they are having sex.Wewe najua umetaka kuwa Banner sababu ya Natasha [emoji28]
Sema huwa nawaza Banner akiwa kwenye kupiga mishe si blood flow inakuwa kubwa na heartbeat zinaongezeka hawez geuka Hulk ndani ya pus*y
Na mambo yakawa sio mambo
mkuu, mume na mke tayari ni familia, watoto ni nyongeza tu.Lakini kwenye ile hulk ya kitambo sio kama jamaa aliweza kujicontrol kweli?
Ila iyo ndio sababu hawakuweza kudate,maana iyo ishu ya presha pia natasha hakuweza kuwa na familia maana walichinja kizazi
Peter QuillAs marvel fans..Je nu character gani ungependa kuishuu maisha yake na kwanini?
pia mkuu, physics is fun, na sio mbaya kuwa na PhDs kadhaa [emoji16]
Kwa hivyo mkuu, naamini scenario yetu ya wawili hao ku-date ingetokea, na natasha angekuwa fully functioning reproductive sys, nature ya kazi yao(they are full time avengers), naamini option ya watoto wasingeichukua
Gorge wip ww wampenda Nn favorite superhero kwny marvel unamuhusudu unatamani uwe kama yyNilitaka kusema mbona Clint Barton ana familia ila nme realise kwamba Hawkeye mke wake ni housewife apparently ila hao wawili wasingeweza maana wote ni kazi kazi
PS mtu angekuwa captain angeishi na Peggy ile life time yao yote hivi wale si walikuwa na watoto kwenye comics
Life starts at 45 ww wampenda Nn favorite superhero kwny marvel unamuhusudu unatamani uwe kama yyPeter Quill
Umenotice hilo mkuu, the funny/interesting thing ni kwamba clint na mkewe wote walikuwa agents of S.H.I.E.L.D (mke wa clint is/was Agent 19), ila kwa ustawi bora wa familia, manzi akastaafu na kuwa housewife.Nilitaka kusema mbona Clint Barton ana familia ila nme realise kwamba Hawkeye mke wake ni housewife apparently ila hao wawili wasingeweza maana wote ni kazi kazi
PS mtu angekuwa captain angeishi na Peggy ile life time yao yote hivi wale si walikuwa na watoto kwenye comics
Kiumbe yeyote anayebeba au miliki infinity stone anakuwa na nguvu hata scarlet witch unayemzungumzia Wanda maxmoff power yake inatokana na infinity stone ( mind stone) angalia season ya Wanda and vision for more referenceMm kuna kitu Sija kielewa tangu niangalie izi movie za sci fi asa marvel yule demu kwny avenger endgame ambaye alimpiga thanorth mbk akamwambia mpambe wake aluhusu ship yao itowe makombola mbn anaguvu vile alizipata wapi Pia namuona kwny trailer ya doctor stranger into metarvese sijui nimeandika sawa
Gorge wip ww wampenda Nn favorite superhero kwny marvel unamuhusudu unatamani uwe kama yy
Umenotice hilo mkuu, the funny/interesting thing ni kwamba clint na mkewe wote walikuwa agents of S.H.I.E.L.D (mke wa clint is/was Agent 19), ila kwa ustawi bora wa familia, manzi akastaafu na kuwa housewife.
Hata katika current continuity ya MCU, bado wanaweza wakawa na watoto. Mwisho wa EndGame, steve aliporudisha ile tessaract, hakurudi in 2010s timeline, alibaki kule, then akaenda have ile dance aliyom-promise peggy. baadae tunaona anaulizwa na yule mwana black "if it was worth it?", akajibu kuwa alichukuwa ushauri wa ironman akaenda "have a a dance with peggy and full life (seeing how he aged)". So mkuu unless waliamua kuwa childless au peggy alikuwa na issues au super soldier serum ilimzuia steve kuwa na uwezo wa kuzalisha viable sperms, then inawezekana wana watoto in this timeline, marvel watatu-surprise mbele ya safari.
Nimekupata iyo wander vision subili nitafute nijuwe chanzo cha nguvu zakeKiumbe yeyote anayebeba au miliki infinity stone anakuwa na nguvu hata scarlet witch unayemzungumzia Wanda maxmoff power yake inatokana na infinity stone ( mind stone) angalia season ya Wanda and vision for more reference
Mwengine carol Denver / captain marvel power yake inatokana na infinity stone
That's why alikuwa na nguvu hata thanos ambaye ni eternal alishangaa