Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Daah zombie strange hawa jamaa wameamua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za ndaaaani kabisa zinasema deadpool atakuwepo View attachment 2119999
Ile ni Ebony Blade mkuu, sio Excalibar, na Whitman atakuwa Black knight kama sijakosea.Hivi huyu mr Whitman (john snow) anakua ni nani?
Ile sword ni eskalaba kama ni ndio maana anakua Arthur?
Alafu ikaris ni yule ndugu yake john snow kwenye GOT?
Nimegundua anaongea English ya Ireland au niseme kama wale wa peak blinders
Post credit mbili? MCU hatari sana.
Nawaza tu jamaa akigundua nguvu zake kwaiyo atainua panga lake na kumtafuta sersi uko kwa srishem?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani anaweza dadavua ile sauti iliyosema "are you sure you are ready for that Mr.whitman?" Ni nani?
Mkuu, King'sman imekuwa set kipindi cha WW1, pale walikuwa hamuongelei ikaris wa eternal, ila ni jamaa mwingine kabisa katika Greek mythology(ambapo the idea ya Icarus imetokea).Kingsman
Son: I can't wait for my solo flight
Father:do you remember what happened to ikaris when he flew close to the sun?
Daah kama haujaona eternals hauwezi elewa hii conversation
Wazungu bhana
Nguvu zake zipoje? Hii character ipoje yaani wazee wa comicsIle ni Ebony Blade mkuu, sio Excalibar, na Whitman atakuwa Black knight kama sijakosea.
It make sense now.Mkuu, King'sman imekuwa set kipindi cha WW1, pale walikuwa hamuongelei ikaris wa eternal, ila ni jamaa mwingine kabisa katika Greek mythology(ambapo the idea ya Icarus imetokea).
Mkuu, King'sman imekuwa set kipindi cha WW1, pale walikuwa hamuongelei ikaris wa eternal, ila ni jamaa mwingine kabisa katika Greek mythology(ambapo the idea ya Icarus imetokea).
Naam Dane Whitman atakua Black Knight na kuna uwezekano akawepo pa kwenye muvi ya Blade mwaka 2024.Ile ni Ebony Blade mkuu, sio Excalibar, na Whitman atakuwa Black knight kama sijakosea.
You're right.Mkuu, King'sman imekuwa set kipindi cha WW1, pale walikuwa hamuongelei ikaris wa eternal, ila ni jamaa mwingine kabisa katika Greek mythology(ambapo the idea ya Icarus imetokea).
I do too.Kumbe kuna mtu anasomaga greek mythology humu aisee Percy Jackson, dah nimekumbuka hivyo vitabu
Kama Ultron atarudi jamani James Spader ndio aweke sauti na sio Ross maquand kama walivyofanya kwenye What if....?Daah nimeangalia leo asubuhi DS2 trailer yake
Man niseme tu ..shit's getting real
Naona marvel sasa wame introduce X-Men kwenye universe yao daah cha kushangaza zaidi sanamu la my favorite character loki [emoji1787] nimeliona
Anyway Kuna possibility kweli kuwa na iron Man variant ambaye inasemekana atacheza tom cruise daah si mmeona Ultron amekuwa programmed kwenye yale maroboti
Nadhani hii Muvi itatumika kuingiza character wote waliokuwepo Fox hivyo tutegemee kuona mengi zaidi. Natumain End credit scene watakuwepo Fantastic FourZa ndaaaani kabisa zinasema deadpool atakuwepo View attachment 2119999
Mahaba ndi ndi ndi to my favorite life affirming..Marvel Studios
View attachment 2120283
Hivi huyu mr Whitman (john snow) anakua ni nani?
Ile sword ni eskalaba kama ni ndio maana anakua Arthur?
Alafu ikaris ni yule ndugu yake john snow kwenye GOT?
Nimegundua anaongea English ya Ireland au niseme kama wale wa peak blinders
Post credit mbili? MCU hatari sana.
Nawaza tu jamaa akigundua nguvu zake kwaiyo atainua panga lake na kumtafuta sersi uko kwa srishem?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani anaweza dadavua ile sauti iliyosema "are you sure you are ready for that Mr.whitman?" Ni nani?
Mythologies ziko pouwa sana na interesting pia. Ziko- integrated kwenye vitu vingi sana hasa kwenye astronomy(constellations etc), logo za makampuni/brands(eg Subaru - "The plaides") etc.I do too.
Na sio kwamba Classsical mythology pekee bali hadi mythology za afrika hasa hapa Bongo Especially Maasai mythology. Kuna kitu nilikua naandika toka march 2021 kuhusu Mythology around the global niliishia njiani. Maana post ingekua ndeeefu sana!!
Btw Usomaji wa Mythology mbalimbali unafanya ujitenge na Jews mythology ambayo tunaitumia sasa binaadamu wengi🚶🚶🚶
Basi kutufundisha tupia hapa kama unavyo am sure wadau hawawez kumindMythologies ziko pouwa sana na interesting pia. Ziko- integrated kwenye vitu vingi sana hasa kwenye astronomy(constellations etc), logo za makampuni/brands(eg Subaru - "The plaides") etc.
Mythology yangu ya kwanza kabisa ni "journey to the west"(kipindi nilikuwa naijua kama "SHIVOOO"), ilikuwa inaoneshwa na itv enzi hizo. Ndo nikawa exposed kwa "Monkey King", moja ya myths safi sana za kichina, akina nine-tailed fox(alionekana kwa shang chi) plus ile misimba yao, na dragons, bila kumsahau pheonix bird.
Then ndo zikija Greeko-latin-roman myths kuhusu kina Zeus,Jupiter,Mars, VeNus, Poseidon, Hades, Vulcan, Apollo, Hygeia, Asclepius(god of healing, child of apollo, ile staff yenye nyoka kwenye mashirika mengi ya hospitali na afya inaitwa "staff of Asclepius") , Febris, Hercules, Achilles, gods na demigods na mortals waliofanya mambo yao etc.
Nordic myths ndo bora kwangu, kina Odin(the all father), Thor na wanae, Freya/Freyja, Valkyries, The Aesir. Idea ya kwamba ukiwa uwanja wa vita/mapambano haijalishi ulikuwa rafiki au adui, wote mtaenda sehemu moja, huko mtapokelewa kama mashujaa, Valhalla au Freya's/Freyja's field.
Mythy za kiafrika zile za kaskazini na magharibi zipo pouwa, na pia za africa ya kati(Congo DRC).
Da'Vinci hii scene peter ni kama alitoka kidogo nje ya character akaongea British accent, am sure nipo sahihi,ila nawaza why wameruhusu hii kitu itoke ivyo ivyo? Au kwa vile ilikua kidogo sana.View attachment 2120507
Nimemalizana na kingsman long live kingsman asante kwa your suggestion. Ongeza nyingine tamu kama hiyo😎Kama sio misogynistic cheki Movie inaitwa
- The 355
Then angalia- Kingsman
- uncharted, hii usubir kidogo maana iko cinemas sasa hivi