Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Hivi visupa hiro vipya vitatuchanganya tu,au ndio baadae atakua na potential kubwa kuliko ajuavyo yeye?
ni mpya kwenye screens zetu mkuu, ila kwenye comics yupo kitambo kidogo. Powers zake kutokana na trailer, zinataka kufanana na Captain Marvel.

Kwa nini wanamleta sasa hivi, nahisi itakuwa maandalizi ya "The Marvels", wahusika wakiwa huyu Ms. Marvel, Captain Marvel pamoja na Monica Rambeau(yule dada black aliepata powers baada ya ku-cross ile wall ya WestView katika WandaVision).

Kevin Fergie ni mtu wa kupiga hatua 100 mbele(anastahili sifa), lazima kuna kitu anapiga huko jikoni kwake

Edit: Nimetoka ku-google, "The Marvels" inakuja 2023 na wahusika watakuwa hao plus wengine
 
Huyu mis.marvel ni yupoje?
Yaan nguvu zake, hii movie ipo wakat gani kwenye timeline ya mcu?
Da'Vinci
Gladly you asked coz I would like to take this moment to explain my evil plan to you 😅
_____
Kwanza kabisa kwa upande wangu Comics zinazowahusu Captain marvels/Kree hua zinanichanganya kidogo but Nitajitahidi kuelezeavyema uelewe...
Autobots let's roll......(In Optimus Prime voice)

Captain marvel ni kundi linaloundwa na superhero kadhaa wengi wakiwa wa kiume (kama sijasahau ) members wake ni Mar-Vell, Monica Rambeau, Genis-Vell, Phyla-Vell, Khn'nr, Noh-Varr na
Carol Danvers
. Katika kundi hili ni Monica na Carol ndio wenye asili ya duniani/Human Race waliobaki hapo Kree race. Sasa hawa superhero wengi wamepata nguvu kwa kutumia Technology za Kree au Genetic modification kutoka hukohuko Kree.

Katika kundi hili Mar-Vell na Carol ndio kama wakuu, Mar-Vell jina lake halisi ni Walter Lawson ambae kwenye muvi ya Captain Marvel 2019 walimbadiri kua mwanamke na kumuita Dr. Wendy Lawson au Supreme Inteligence

Mar-Vell alikua anatumia kifaa kinachoitwa Universal Beam ambacho kilimuwezesha kua na nguvu za kukontrol usumaku, kupaa, speed nk kifaa hichoalikibadirisha na kuwa anakivaa mkononi akakiita Nega Bands

Ms Marvel...
Kama tulivyoona kwamba kundi la Captain marvel liliundwa zaidi na wanaume, badi pia kundi hili la Ms marvel ni kundi la superhero wa kike ambao walipata nguvu kupitia Tech's za Kree. Kundi hili linaundwa na Carol Danvers,Kamala Khan, Sharon Ventura na Karla Sofen.

Kamala Khan ni race ya Inhuman ambapo nguvu zake ni kurefusha baadhi ya viungo vyake kama shingo,miguu,mikono nk, anaweza kuukuza mwili wake na kuufanya uwe mdogo kama ant man au anaweza kujikondesha kama karatasi, anaweza kujibadirisha kua mtu mwingine kama Skrulls, anaweza kubadirisha umbo lake na kutengeneza umbo lolote kama vile Venom alivyokua anafanya Nadhani mmeona anavyofanya kwenye Trailer.

Sasa...
Kwenye Trailer imeonyeshwa amevaa bracelet mkononi ile ndio Nega-Band ilivyokua inatumiwa na Mar-Vell, Nadhani watatuonyesha Kwamba ndio alikopata nguvu zake kwenye series. Nadhani wamefanya hivi ili kutofautisha na Reed Richard nguvu zake maana Muvi yake inakuja ya Fantastic Four

Hopefully nimeeleweka japo kidogo
 
Hivi visupa hiro vipya vitatuchanganya tu,au ndio baadae atakua na potential kubwa kuliko ajuavyo yeye?
Na mtachanganyikiwa kweli wekeni vichwa vyenu tayari maanakuna wakati kama physics uliikimbia hutoelewa hizi muvi. Kila character unayemuona ana potential kubwa sana
Wanachofanya ni ku replace wale old characters ili iendane na story zao na timeline zao

Si unajua hawa jamaa wana develop story mapema kabisa so wanajua yupi waende naye yupi ataishia njiani
Naam kwa mfano muvi za Avengers infinity war na endgame wameanza kutengeneza mwaka 2015. Lakini sio kwamba kila old character atakua replaced.. Take this
ni mpya kwenye screens zetu mkuu, ila kwenye comics yupo kitambo kidogo. Powers zake kutokana na trailer, zinataka kufanana na Captain Marvel.
Kamala khana sio wa kitambo sana amenza kuonekana kwenye comics 2013 na kuonekana kwenye Ms marvel mwaka 2014
Kwa nini wanamleta sasa hivi, nahisi itakuwa maandalizi ya "The Marvels", wahusika wakiwa huyu Ms. Marvel, Captain Marvel pamoja na Monica Rambeau(yule dada black aliepata powers baada ya ku-cross ile wall ya WestView katika WandaVision).
Naam lengo kuu ni aje atokee kweye Captain marvel 2 ndio maana wakaiita The Marvels maana ita consist Captain Marvel watatu
Kevin Fergie ni mtu wa kupiga hatua 100 mbele(anastahili sifa), lazima kuna kitu anapiga huko jikoni kwake

Edit: Nimetoka ku-google, "The Marvels" inakuja 2023 na wahusika watakuwa hao plus wengine
Naam Creative team ya Marvel wameweka mfumo kwamba muvi ikitoka mwaka huu basi mwendelezo wake unakua tayari inabakia kushoot tu. Kama vile Loki,shang chi, What If?? Hizi zote mwendelezo wake ulikua tayari pindi tu zilipotoka. Kevin feige kabla ya kuajiriwa Marvel alikua die hard fan wa Marvel Comics ndio maana anatuletea vitu Vizuri coz nae ni mpenzo...Ni sawa sawa mie niwe CEO wa Marvel Studios basi mjue mtapata mambo mazuri back to back maana naweza tumia hata masaa 5 nasoma comics
 
Salute mzee.
Natamani ningekua na madini kama yako.

Unaweza kuwa sahihi sana,ukimshauri jamaa na ukawa sahihi atakupa credit in future thank you for friend from Tanzania Da'vinci who gave me this theory and turned out to be true hahaha.
Daah mimi hata sina madini mate, najaribu tu kulitendea haki hili jina langu kwa kushea machache niyajuayo nanyi wakuu ✌️
Elimu si elimu kama haitolewi kwa wale wasiokua nayo
 
Na mtachanganyikiwa kweli wekeni vichwa vyenu tayari maanakuna wakati kama physics uliikimbia hutoelewa hizi muvi. Kila character unayemuona ana potential kubwa sana

Naam kwa mfano muvi za Avengers infinity war na endgame wameanza kutengeneza mwaka 2015. Lakini sio kwamba kila old character atakua replaced.. Take this

Kamala khana sio wa kitambo sana amenza kuonekana kwenye comics 2013 na kuonekana kwenye Ms marvel mwaka 2014

Naam lengo kuu ni aje atokee kweye Captain marvel 2 ndio maana wakaiita The Marvels maana ita consist Captain Marvel watatu

Naam Creative team ya Marvel wameweka mfumo kwamba muvi ikitoka mwaka huu basi mwendelezo wake unakua tayari inabakia kushoot tu. Kama vile Loki,shang chi, What If?? Hizi zote mwendelezo wake ulikua tayari pindi tu zilipotoka. Kevin feige kabla ya kuajiriwa Marvel alikua die hard fan wa Marvel Comics ndio maana anatuletea vitu Vizuri coz nae ni mpenzo...Ni sawa sawa mie niwe CEO wa Marvel Studios basi mjue mtapata mambo mazuri back to back maana naweza tumia hata masaa 5 nasoma comics
Umenikumbusha,ilw conversation kati ya vision wetu na white vision daaaaah mambo yalikua magumu pale.
 
Daaah humu nimezungukwa na watoto kumbe...
Hata mm ni kijana mdogo,sema mfumo wa jamii unatufanya tuone kama tupo sawa,kijana anaona kila mtu kijana pia wakubwa wanaona wote wakubwa.
Ila tukiwa tunachat kama hivi kwa kuheshimiana huwezi kuona utofauti
 
Sisi ni watu wazma kabsa izo knowledge tunazo physics ipo na izo movie tunajua apa kafeli au laah tusiitane watoto
 
Ndio mzee si ndo wameimodify spider anavaa
Anyways tuishi humo humo.

Ile suit ina technology inaitwa Nano tech katika ulimwengu wa kweli ipo hiyo kitu.

Ndio nikakwambia bongo movie hawajui nano tech,kimsingi hawa invest pesa nyingi kwenye kazi zao
 
Amini mzee hawan malengo kwanz ,sema kuna part znashangaza San aliwezaje kurudisha mda nyuma bila stone of time!?
 
MOMS. Ends credit scenes leaks

Sikui Kama itakuwa kweli
FNNh6hrUUAoH6Wk.jpg
 
Back
Top Bottom