Huyu mis.marvel ni yupoje?
Yaan nguvu zake, hii movie ipo wakat gani kwenye timeline ya mcu?
Da'Vinci
Gladly you asked coz I would like to take this moment to explain my evil plan to you 😅
_____
Kwanza kabisa kwa upande wangu Comics zinazowahusu Captain marvels/Kree hua zinanichanganya kidogo but Nitajitahidi kuelezeavyema uelewe...
Autobots let's roll......(In Optimus Prime voice)
Captain marvel ni kundi linaloundwa na superhero kadhaa wengi wakiwa wa kiume (kama sijasahau ) members wake ni
Mar-Vell, Monica Rambeau, Genis-Vell, Phyla-Vell, Khn'nr, Noh-Varr na
Carol Danvers. Katika kundi hili ni Monica na Carol ndio wenye asili ya duniani/Human Race waliobaki hapo Kree race. Sasa hawa superhero wengi wamepata nguvu kwa kutumia Technology za
Kree au Genetic modification kutoka hukohuko Kree.
Katika kundi hili
Mar-Vell na Carol ndio kama wakuu, Mar-Vell jina lake halisi ni
Walter Lawson ambae kwenye muvi ya Captain Marvel 2019 walimbadiri kua mwanamke na kumuita
Dr. Wendy Lawson au Supreme Inteligence
Mar-Vell alikua anatumia kifaa kinachoitwa Universal Beam ambacho kilimuwezesha kua na nguvu za kukontrol usumaku, kupaa, speed nk kifaa hichoalikibadirisha na kuwa anakivaa mkononi akakiita Nega Bands
Ms Marvel...
Kama tulivyoona kwamba kundi la Captain marvel liliundwa zaidi na wanaume, badi pia kundi hili la Ms marvel ni kundi la superhero wa kike ambao walipata nguvu kupitia Tech's za Kree. Kundi hili linaundwa na Carol Danvers,Kamala Khan, Sharon Ventura na Karla Sofen.
Kamala Khan ni race ya Inhuman ambapo nguvu zake ni kurefusha baadhi ya viungo vyake kama shingo,miguu,mikono nk, anaweza kuukuza mwili wake na kuufanya uwe mdogo kama ant man au anaweza kujikondesha kama karatasi, anaweza kujibadirisha kua mtu mwingine kama Skrulls, anaweza kubadirisha umbo lake na kutengeneza umbo lolote kama vile Venom alivyokua anafanya Nadhani mmeona anavyofanya kwenye Trailer.
Sasa...
Kwenye Trailer imeonyeshwa amevaa bracelet mkononi ile ndio Nega-Band ilivyokua inatumiwa na Mar-Vell, Nadhani watatuonyesha Kwamba ndio alikopata nguvu zake kwenye series. Nadhani wamefanya hivi ili kutofautisha na Reed Richard nguvu zake maana Muvi yake inakuja ya Fantastic Four
Hopefully nimeeleweka japo kidogo