Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

.
20220705_153625.jpg
 
Hivi mwandishi wa harry Potter na fantastic beasts ni mmoja au?
Naangalia hapa fantastic beasts naona wapo shuleni kwa harry alafu kupo vile vile
Mwenye kuelewa anipe kidogo maarifa hapa
Ni muendelezo wa Harry Potter jambz niyule dg kwny movie zilizo pita ana nywele nyeupe
 
Mkuu naomba twende wote🙏

NB. Umeitazama Episode ya mwisho ya The Boys?
Aisee last episode imenishangaza Sana,mbaya zaidi yule dogo nae ameanza kuikubali tabia ya baba yake.
 
Attachments

  • 20220709_081125.jpg
    20220709_081125.jpg
    296.3 KB · Views: 12
Aiseee jamani yule hughie kamlipua invincible khaaaa i didn't see that coming at all.

Hahahaha butcher "OI MORNING SUNSHINE"
 
Ngoja niiangalie naskia imejaa mishtuko😅(suprises) hahaha kishwahili kilivyo aisee
mkuu, napenda sema butcher ni kama batman ambaye anaua(batman hana tabia ya kuua , hata iweje), yaan jamaa ni no matter what mambo lazima plan ikamilike, except ikiwa inamuhusu dead wife wake.
 
Ni muendelezo wa Harry Potter jambz niyule dg kwny movie zilizo pita ana nywele nyeupe
grindelwald, afu jamaa ndo anamiliki master ward sahivi, inamaanisha kwa namna moja ama nyingine atapigwa au kuuawa na dumbledore katika muendelezo wake.
 
Weakness ya stormbreaker ni kwamba inaweza kuwa used against Thor

ukitoa hapo naona ni more powerful kuliko ile Johnson(kwa sauti ya antman... anaiita Mjolnir eti Johnson)😂
Mkuu, stormbreaker sio ya hovyo hovyo.
 
Umemanisha nini apo
mimi mwenyew sijailewa hiyo meme mkuu..ila namejaribu kufatilia tangu hiyo #minions iwe released kwenye cinema ni kama imeingiza mpunga mrefu balaa

kitu kingine nimeona clip zinatrend,watu hasa teens wanaingia kwa makundi kweny cinema kucheck hiyo muvi, huku wamekula suti[emoji28][emoji28] wanasema worth watch it!!
 
Hatari
 
Back
Top Bottom