Marvel Cinematic Universe special thread

Kuna mtu kaangalia epiosode 6- she hulk?
Tayari "just Jen"Sema Mimi nimeilewa hii series u comedy wake pengine kwasababu labda sijamsoma she-hulk wa kwenye comics,tatizo ka series km dk 20 tu hapo ndo wameboronga,angalia hii episode kama kuna next episodes zimebaki basi things zinaenda kua ugly.
 
Happy birthday to Anthony Mackie who turns 44 today! [emoji512]
20220923_140540.jpg
 
Tv and films company sasa hivi wamejikita katika kutengeza kitu kiitwacho Shared universe. Shared universe ni hali ambayo filamu mbili zenye character na stori tofauti zinakutahishwa kwenye filam au series moja. Katika shared universe kunaweza kua na contunity ya matukio na reference ya maneno kutoka character wa muvi zingine. Toka zamani kulikua na shared universe nyingi tu kama vile StarTrek,MonsterVerse,StarWars nk nk.

Lakini moja kati ya Successful universe katika ulimwengu wa filamu ni Marvel Cinematic Universe in all aspects of popularity and Economic. Their movie are Block busters and well know to peoples across the Global. Lakini watu hawa hawakuanza leo kufanya hii shared universe wameanza zamani toka maiaka ya 40s waliita Marvel Universe.

Sasa baadhi ya Tv company/Producers nao wamejikita katika utengenezaji wa muvi/Tv zenye mfumo huu wa sharing.

  • A song of Ice and Fire
GRR Martin muandishi wa vitabu na mtengenezaji wa Game of Thrones amesema kwamba anataka atengeneze shared universe kama ya marvel. Ndio maana sasa hivi tuna Prequel ya House of Dragons, kashatangaza kwamba series zijazo zitakua Snow,9Voyages,10000 Ships, Dunk and Egg
  • Power Universe
Muandaaji wa series ya Power Courtney A Kemp naye katengeneza universe yake ya Power Universe ambayo inajumuisha Power book 2, Raising Kanan na Power Book 4

  • The Walking Dead Universe
Hawa nao sitaki kuandika sana walishajivuruga wenyewe naona hawakua na plan. Btw nao wana project nyingi sana kwenye universe yao

  • The Boys
Eric Kripke kajitahidi sana kututengenezea universe hii japo bado hasa haijawa confirmed inaitwaje universe yake. Vought international, hua nacheka sana nikipitia comment za youtube kwenye hii chanel yao watu hua wanajifanya kua ni wananchi kwenye hii universe [emoji28][emoji28] Btw tusubir series ya Gen V tuone itakuaje

.... Nimechoka kuType,
Good
 
Tv and films company sasa hivi wamejikita katika kutengeza kitu kiitwacho Shared universe. Shared universe ni hali ambayo filamu mbili zenye character na stori tofauti zinakutahishwa kwenye filam au series moja. Katika shared universe kunaweza kua na contunity ya matukio na reference ya maneno kutoka character wa muvi zingine. Toka zamani kulikua na shared universe nyingi tu kama vile StarTrek,MonsterVerse,StarWars nk nk.

Lakini moja kati ya Successful universe katika ulimwengu wa filamu ni Marvel Cinematic Universe in all aspects of popularity and Economic. Their movie are Block busters and well know to peoples across the Global. Lakini watu hawa hawakuanza leo kufanya hii shared universe wameanza zamani toka maiaka ya 40s waliita Marvel Universe.

Sasa baadhi ya Tv company/Producers nao wamejikita katika utengenezaji wa muvi/Tv zenye mfumo huu wa sharing.

  • A song of Ice and Fire
GRR Martin muandishi wa vitabu na mtengenezaji wa Game of Thrones amesema kwamba anataka atengeneze shared universe kama ya marvel. Ndio maana sasa hivi tuna Prequel ya House of Dragons, kashatangaza kwamba series zijazo zitakua Snow,9Voyages,10000 Ships, Dunk and Egg
  • Power Universe
Muandaaji wa series ya Power Courtney A Kemp naye katengeneza universe yake ya Power Universe ambayo inajumuisha Power book 2, Raising Kanan na Power Book 4

  • The Walking Dead Universe
Hawa nao sitaki kuandika sana walishajivuruga wenyewe naona hawakua na plan. Btw nao wana project nyingi sana kwenye universe yao

  • The Boys
Eric Kripke kajitahidi sana kututengenezea universe hii japo bado hasa haijawa confirmed inaitwaje universe yake. Vought international, hua nacheka sana nikipitia comment za youtube kwenye hii chanel yao watu hua wanajifanya kua ni wananchi kwenye hii universe 😅😅 Btw tusubir series ya Gen V tuone itakuaje

.... Nimechoka kuType,
Ivi house of dragon ni mwendelezo wa game of thrones au vipi ??, na character's waliopo kwenye house of dragon ndio waliokuwepo kwenye game of thrones ??
 
Sio muendelezo bali ni tukio lililotokea miaka 200 kabla ya Game of Thrones.... Characters sio wa GOT sababu HOD inaelezea familia ya Targaryen tu.
 
Hapana Naomba nikukosoe kidogo HOD inaelezea zaidi tukio la vuta ya wenyewe kwa wenyewe katika koo ya Targaryen. Vita hivyo inafahamika kama A dance of Dragons kipo kitabu chake... Nadhani HOD itatuonyesha pia jinsi House Strong kutoka mji wa Harenhall ulivyoteketea. Nasubiri nione pia kama wataonyesha jinsi koo ya Castamere ilivyoteketezwa na koo ya Lannisters. Hadi wakatunga wimbo wa The rain of Castamere ✌️
Naona wote mnaelezea kitu sawa
 
Back
Top Bottom