Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Wakuu, Russo bros wameachia kitu(series) kipya, inaitwa CITADEL, iko promising so far.
 
Huyu wa kwenye Quantumania sio mkali ndio maana Ant-Man kamshinda kirahisi. Someni comics jamani, msimuchukulie poa Kang.

Hivi una jua kang ana version nyingine ambayo anajiita Iron Lad, alijigeuza akawa mtoto ana tumia Technology kuliko ya Sark japo inafanana nae. Ni balaa, usimchukulie poa

Shang chi hana superpower yoyote ile yeye anapiga mkono tu. Unless atumie zile ring. Hata hivyo hafui dafu kwa Kang. Version ya Rama-Tut inajua trick zote alizonazo wong.

Kang ni habari nyingine ngoja tukifika kwa Galactus sijui mtasemaje sasa. Maana sterling ni hawa hawa na Galactus yeye anaweza kuila dunia au Solar system nzima
unanifanya niwaze kitabu nlichosomaga cha comic cha galactic dark net star alikuwa hang lang
 
Da'Vinci karibu DCU....[emoji23] MCU saivi hamna kitu... Ni flop after flop....[emoji23] Nadhani we mwenyewe unajionea..
Tuseme Tu ukweli
Hii muvi mbaya bhanaa [emoji38][emoji38]
images%20(17).jpg
 
Da'Vinci karibu DCU....[emoji23] MCU saivi hamna kitu... Ni flop after flop....[emoji23] Nadhani we mwenyewe unajionea..
Kwakweli this time tumeangukia pua. But mind you kuanzia mwaka kesho mambo yatakua bambam. Covid-19 ndio ilifanya MCu iwe hivi leo.

DC nasubiria The flash trailer yake imenihamasisha. Pia Transformers Rise of the beast it look interesting na zote zinatoka june 16
 
shida sio covid shida ni parent company. Disney wamefocus kwenye pesa kuliko burudani....
 
shida sio covid shida ni parent company. Disney wamefocus kwenye pesa kuliko burudani....
Shabani kaoneka umeyakanyaga, shabani kaoneka umedandia mtumbwi wa vibwengo. Yaani unathubutu kunikosoa mimi😅
Ngoja kwanza nijisifie.
👉Kwa JF hii naamini hakuna mtu anaweza kushindana nami kuhusu maswala ya Marvel Cinematic au Game if Thrones, kama unabisha nipe mkono tushindane.
Uliza chochote kuhusu Marvel na GOT nitakujibu for pages of explanation

Ipo hivi: moja ya sababu Marvel kushuka ubora ni COVID-19 Maana mwaka 2019 ndio walikua wameplan muvi na series zote za phase 4 zianze kutoka 2022. Bahati mbaya covid-19 ikazuka baadhi ya project zikiwa bado zikiwa kwenye pre production hivyo basi Covid-19 ilipoonza kupungua ikabidi wafanye haraka haraka post production ya muvi na series. Ndio maana baadhi ya project zilishuka ubora wa VFX.
Walikua wanawahi ili kwenda sambamba na timeline ya phase 4. Ndio maana kwa mara ya kwanza muvi za marvel mwaka 2021 zikatoka nne na series 4 wakati toka 2008 zilikua zinatoka 2 tu.

Kwa sababu hiyo ndio maana baadhi ya project zilizotakiwa kutoka mwaka huu kama Echo,Ironheart,Agath harkness, nk zimesogezwa mbele ili ziwe scrapped na kuongezwa ubora.

Nitarudi kueleza sababu ya pili
 
Back
Top Bottom