Marvel Cinematic Universe special thread

Sema wadau mmeikataa secret invasion Kama dp world,so Rhode NI skrull na amekuwa skrull kwa muda gani ??i🤔🤔 sema gravik yule kijana NI mshenzi sana
 
Inahusu nini hii series bado sijaianza
Kama uliangalia ile movie ya Captain Marvel basi secret invasion story yake inaanzia mule.

Ni hivi, kama ilivyooneshwa kwenye Captain Marvel huko kwenye sayari nyingine kuna vita kati ya race mbili za aliens.

KREE hawa rangi yao ni ya blue mfano wa kree ni Ronan the accuser ( refer guardians of the galaxy vol 1 )

SKRULL hawa rangi yao ni ya kijani na ni shapeshifters ( wanaweza jibadili kuwa yoyote yule ( mfano kwenye Spider-Man far from home mwisho ilioneshwa kuwa kumbe nick fury kwenye ile muvi hakuwa fury ila ni talos ambae ni skrull. Ali-assume identity ya fury ili isijulikane kama fury hayuko duniani bali yuko kwenye spaceship huko)

Sasa basi kwenye Captain Marvel kisa cha hao skrull kuja duniani ni sababu walishindwa vita na kree so wakakimbia sayari yao baada ya destruction.

Duniani Nick Fury ndio alikuwa anajua kila kitu na aliwaahidi kuwatafutia sayari nyingine wakaishi ila na wao sababu wanaweza kujigeuza kuwa yeyote basi wawe maspy wake kukusanya taarifa nyeti toka kilaa sehemu wanampelekea.

Kwenye secret invasion tunaona ni miaka mingi toka waje duniani na wamemfanyia fury kazi nyingi ila still hajatimiza ahadi ya kuwatafutia new home.

Gavik amabe ni skrull anaanzisha kikundi na kuanza kufanya vitendo vya kigaidi ili tu kutaka kuchonganisha USA na Russia wapigane nuclear war ambapo dunia itakuwa haiwezi kaliwa na binadamu sababu ya destruction na radiation lakini wao hiyo radiation haiwadhuru being aliens and all ambapo ikifanikiwa watakuwa washapata new home.

Sasa hapo Fury ndio anapambana kuzuia hiyo kitu isitokee japo anapata wakati mgumu ukizingatia Skrulls wa Gavik wamejipenyeza idara zote muhimu za serikali kwa kuteka wale watumishi husika, wanahamisha memory zao kwa skrull agents ambao wajibadili kuwa hao mateka kisha kwenda kuishi na kufanya kazi kwenye zile nyadhifa bila kujulikana.

Sorry kwa maelezo marefu.
 
Umenielezea vizuri sana hadi nimejihisi kama naiona,
Captain Marvel sikuiona itabidi niiangalie kwanza ndio nije kwa hiyo Secret Invasion maana nimeona November kuna movie ya The Marvels,
Trailer lake la motooooo
 
Wakuu, nimedownload movie ila haina subtitles na nashindwa kuziweka. Nifanyejeee
 
Season 2 November 4
1690369026389.jpg
 
Unajua hiyo Poster hapo ni Some Next Level creative shit

Wako kwenye basi hiyo cast, wanasubiri kwa hamu gari ifike...

halafu hiyo “almost there” inamalizia kabisa

Kwamba wanasubiri mda ufike ili Invisible iwe Released

Wametumia Metaphor ya Basi as Time
Mzee huu mzigo ni mkali nidownload na story yake inahusu nini kwa ufupi
 
Secret invasion kwisha.

Yule G'iah kuna wa kumpiga pale MCU kwasasa?

Maana naona ni all avengers in one.
 
images(1).jpg

Kwa hiyo Rhodes muda wote toka alipopata ajali ya kuparalyze kwenye Captain America; civil war akawa kidnapped na skrulls.

Infinity war na Endgame hakuwa Rhodes human; ila ni Skrull!?? Marvel wamejua kutukoroga vichwa. Ngoja tuisubiri THE MARVELS tuone imekuweje baada ya hapa😁😁🙌
 
Back
Top Bottom