mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
ni makusudi, kuongeza ile shauku kwa mashabikiHawa jamaa mbona picha zao zunavuja sana , hakuna privacy View attachment 2684585
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni makusudi, kuongeza ile shauku kwa mashabikiHawa jamaa mbona picha zao zunavuja sana , hakuna privacy View attachment 2684585
Mimi nasubil ziishe kabisa ndo nianze kuangaliaSema wadau mmeikataa secret invasion Kama dp world,so Rhode NI skrull na amekuwa skrull kwa muda gani ??i[emoji848][emoji848] sema gravik yule kijana NI mshenzi sana
Dah gravik ni mkuda haswa.Sema wadau mmeikataa secret invasion Kama dp world,so Rhode NI skrull na amekuwa skrull kwa muda gani ??i sema gravik yule kijana NI mshenzi sana
Ongoing zinanipunguzia mzigo ,japo episode zinaisha na cliffhangerMimi nasubil ziishe kabisa ndo nianze kuangalia
Inahusu nini hii series bado sijaianzaMtu niliyemuelewa sana kwenye secret invasion ni sonya...
Aisee maza katisha sana kwenye hii series.
Wenyewe wanasema Ili kuielewa vizuri inabidi uwe umeshaangalia series ya agent of shieldInahusu nini hii series bado sijaianza
Nop.Wenyewe wanasema Ili kuielewa vizuri inabidi uwe umeshaangalia series ya agent of shield
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kama uliangalia ile movie ya Captain Marvel basi secret invasion story yake inaanzia mule.Inahusu nini hii series bado sijaianza
Umenielezea vizuri sana hadi nimejihisi kama naiona,Kama uliangalia ile movie ya Captain Marvel basi secret invasion story yake inaanzia mule.
Ni hivi, kama ilivyooneshwa kwenye Captain Marvel huko kwenye sayari nyingine kuna vita kati ya race mbili za aliens.
KREE hawa rangi yao ni ya blue mfano wa kree ni Ronan the accuser ( refer guardians of the galaxy vol 1 )
SKRULL hawa rangi yao ni ya kijani na ni shapeshifters ( wanaweza jibadili kuwa yoyote yule ( mfano kwenye Spider-Man far from home mwisho ilioneshwa kuwa kumbe nick fury kwenye ile muvi hakuwa fury ila ni talos ambae ni skrull. Ali-assume identity ya fury ili isijulikane kama fury hayuko duniani bali yuko kwenye spaceship huko)
Sasa basi kwenye Captain Marvel kisa cha hao skrull kuja duniani ni sababu walishindwa vita na kree so wakakimbia sayari yao baada ya destruction.
Duniani Nick Fury ndio alikuwa anajua kila kitu na aliwaahidi kuwatafutia sayari nyingine wakaishi ila na wao sababu wanaweza kujigeuza kuwa yeyote basi wawe maspy wake kukusanya taarifa nyeti toka kilaa sehemu wanampelekea.
Kwenye secret invasion tunaona ni miaka mingi toka waje duniani na wamemfanyia fury kazi nyingi ila still hajatimiza ahadi ya kuwatafutia new home.
Gavik amabe ni skrull anaanzisha kikundi na kuanza kufanya vitendo vya kigaidi ili tu kutaka kuchonganisha USA na Russia wapigane nuclear war ambapo dunia itakuwa haiwezi kaliwa na binadamu sababu ya destruction na radiation lakini wao hiyo radiation haiwadhuru being aliens and all ambapo ikifanikiwa watakuwa washapata new home.
Sasa hapo Fury ndio anapambana kuzuia hiyo kitu isitokee japo anapata wakati mgumu ukizingatia Skrulls wa Gavik wamejipenyeza idara zote muhimu za serikali kwa kuteka wale watumishi husika, wanahamisha memory zao kwa skrull agents ambao wajibadili kuwa hao mateka kisha kwenda kuishi na kufanya kazi kwenye zile nyadhifa bila kujulikana.
Sorry kwa maelezo marefu.
Season 2 November 4View attachment 2699632
Mzee huu mzigo ni mkali nidownload na story yake inahusu nini kwa ufupiUnajua hiyo Poster hapo ni Some Next Level creative shit
Wako kwenye basi hiyo cast, wanasubiri kwa hamu gari ifike...
halafu hiyo “almost there” inamalizia kabisa
Kwamba wanasubiri mda ufike ili Invisible iwe Released
Wametumia Metaphor ya Basi as Time
Wapo bado Dr. Strange, wanda na wengineo. Copy si sawa na Og.Secret invasion kwisha.
Yule G'iah kuna wa kumpiga pale MCU kwasasa?
Maana naona ni all avengers in one.
Umemsahau Thor OdinsonWapo bado Dr. Strange, wanda na wengineo. Copy si sawa na Og.