Anti-monitor
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 451
- 642
Season 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katuni kabisa unaita mzigo mkali ,Mzee huu mzigo ni mkali nidownload na story yake inahusu nini kwa ufupi
We jamaa [emoji23][emoji23]Katuni kabisa unaita mzigo mkali ,
wakati wa kuangalia huwa mnajifungia wapi ili msionekane kuwa mnatizama katuni?
Nenda netnaijaNaihitaji sana hii series inaitwa WESTWORLD. Naipata chimbo lipi toka season 1 mpaka 4? Nimeitafuta nimeikosaView attachment 2719151
Haipo yote.Nenda netnaija
Tegemea mapicha yanayochezeshwa na computer. Hakuna jipya
Reveiw zinaonesha ni movie ya average tu, ila naomba isije ikaflop kam The flash
Mgomo wa nini?Watu wa VFX wa Marvel nao wana Mgomo uko, mmeskia?
Naihitaji sana hii series inaitwa WESTWORLD. Naipata chimbo lipi toka season 1 mpaka 4? Nimeitafuta nimeikosaView attachment 2719151
Mcu strongest character so far anabaki kuwaBro, ana experience ya kum-match thor?
Thor ameenda against literal gods kwenye life yake, amemjerui hata Zeus, mkuu.
Tumeona stormbreaker ikiizidi nguvu beam ya Infinity gauntlet, sasa ile beam ya Captain Marvel itaizidi beam inayotolewa na Infinity stones.
Thor anamkalisha vizuri kabisa Hulk, Groot.
Valkyrie, Cap A., Abomination na wengineo wote wanakalishwa chini na Thor Odinson.
Mkuu, Thanos wa Infinity war au Endgame anamkalisha vizuri tu huyo Giah.
Captain Marvel anamkalisha vizuri tu Giah, tena akija ile version ya kwenye endgame ndo kabisa mkuu.
THOR ODINSON, tena bila hata ya kumweka in his ultimate god level, Anamkalisha vizuri sana Giah.
Kusema Galactus ndio wa kuja kuchapa Giah ni matumizi mabaya ya wale characters.
MCU wamefanikiwa kutengeneza moja ya characters Overpowered, ila huyo character hampigi Thor Odinson, King of Asgard, God of Lighting and Thunder.
Best spiderman movie of all timeHii movie ni kali sana, nasubiri muendelezo wake tuView attachment 2712269