Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Amsha amshapopo
Okay!

Huyu Wanda tuliyemuona kafa hapa inawezekana kuwa ni doppelganger wa Wanda from prime Earth? Na wanda wa earth 616 yuko wapi, nini kilitokea baada ya kuangukiwa na mwamba?
images (14).jpeg
images (15).jpeg
images (16).jpeg
 
Kulikuwa na ulazima gani wa kurudisha chupi nje miaka hii? Miaka ile ya 8⁰' kwa akina Christopher ilikuwa sawa. But sio kwa sasa plz!
Angalau wangeamua kuachana nayo baada ya Brandon Routh kwenye Superman returns
 
Back
Top Bottom