Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mwenyekiti wa UWT Taifa, Ndg. Mary Chatanda (MCC) amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina imani kubwa sana na wanawake na kinaamini wanamchango mkubwa sana kwa maendeleo ya Taifa.
Chatanda amayasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Riverside, Kata ya Mwembesongo waliojitokeza kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hii leo.
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hata hivyo, Chatanda ameendelea na kampeni zake za Mtaa kwa Mtaa, Nyumba kwa Nyumba, Mguu Kwa Mguu huku akielezea mafanikio makubwa ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.