Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Umeelewa mada au point ni zilezile..Mchumba hasomeshwi.
Ushauri:Mary Claire binti Aliye mwagiwa Tindikali na aliye kuwa mchumba wake aliye Msomesha amefunguka kuwa,
“Sikuwahi kumuomba huyo mwanaume anilipie ada ya shule. Ni yeye mwenyewe aliniomba nimpe maelezo ya akaunti ya shule, nikampa bila kujua kuwa angeanza kulipa ada. Nilijaribu hata kumzuia, lakini aliniambia ananipenda sana na yuko tayari kunifanyia chochote.
Katika kipindi chote tulichokuwa kwenye mahusiano, hakuwahi kuniambia kuwa tayari ameoa, na pia sikuwahi kumuona na mke wake. Baada ya kugundua kuwa ameoa, nilimweleza wazi kuwa siwezi kuendelea na mahusiano hayo, ndipo nikaamua kuyavunja.
Baada ya hapo, Elvis alianza kunitishia kwa hasira, na sasa hali imefikia hatua ya kutaka kuniangamiza, Ningependa kutoa wito kwa wanaume, mwanamke akikataa kuwa na wewe, muache na uendelee na maisha yako hata kama amekula pesa zako unaweza kupata zingine”
Asirudie tena utapeli.Mary Claire binti Aliye mwagiwa Tindikali na aliye kuwa mchumba wake aliye Msomesha amefunguka kuwa,
“Sikuwahi kumuomba huyo mwanaume anilipie ada ya shule. Ni yeye mwenyewe aliniomba nimpe maelezo ya akaunti ya shule, nikampa bila kujua kuwa angeanza kulipa ada. Nilijaribu hata kumzuia, lakini aliniambia ananipenda sana na yuko tayari kunifanyia chochote.
Katika kipindi chote tulichokuwa kwenye mahusiano, hakuwahi kuniambia kuwa tayari ameoa, na pia sikuwahi kumuona na mke wake. Baada ya kugundua kuwa ameoa, nilimweleza wazi kuwa siwezi kuendelea na mahusiano hayo, ndipo nikaamua kuyavunja.
Baada ya hapo, Elvis alianza kunitishia kwa hasira, na sasa hali imefikia hatua ya kutaka kuniangamiza, Ningependa kutoa wito kwa wanaume, mwanamke akikataa kuwa na wewe, muache na uendelee na maisha yako hata kama amekula pesa zako unaweza kupata zingine”
Wewe umenielewa? Kwanini nimeandika hivyo???Umeelewa mada au point ni zilezile..
Sielewi, ila huyo hakuwa mchumba!Wewe umenielewa? Kwanini nimeandika hivyo???
Whatever the case.Sielewi, ila huyo hakuwa mchumba!
Hapana ila nitajiandaa kwa lolote! si kila biashara inafanikiwa!Whatever the case.
Je nikuulize jambo?
Unaweza kufungua biashara ili upate hasara
Kama jibu ni hapana.
Basi jua mabaya yote amefanya huyo mwamba ni sababu ya uwekezaji amefanya.
Swali jingine angekua hajamsomesha au kutumia gharama hizo unadhani angepata guts za kufanya alichofanya jibu ni No, ila sisemi hivi ku support ukatili amefanya kwasababu watu weak ndio hufanya mambo ya kipuuzi kama hayo.
Natumai umenielewa
Asande.
Kwanini asomeshe binti mwingine hilo ni lake binafsi hatuwezi jua sababu, hivyo hatuwezi kumsemea.Hapana ila nitajiandaa kwa lolote! si kila biashara inafanikiwa!
Wewe una mke, unaenda somesha binti mwingine ili iweje?
Kwanini umsomeshe mtu wakati una mke wako?
Nimekuelewa
Asande kushukuru!
ni muhimu zaidi kuepuka kupokea zawadi za pesa au mali kutoka kwa mtu ambae humpendi, kwasababu uwekezaji huo kwako unaweza kukutokea puani huko mbeleni.🐒Mary Claire binti Aliye mwagiwa Tindikali na aliye kuwa mchumba wake aliye Msomesha amefunguka kuwa,
“Sikuwahi kumuomba huyo mwanaume anilipie ada ya shule. Ni yeye mwenyewe aliniomba nimpe maelezo ya akaunti ya shule, nikampa bila kujua kuwa angeanza kulipa ada. Nilijaribu hata kumzuia, lakini aliniambia ananipenda sana na yuko tayari kunifanyia chochote.
Katika kipindi chote tulichokuwa kwenye mahusiano, hakuwahi kuniambia kuwa tayari ameoa, na pia sikuwahi kumuona na mke wake. Baada ya kugundua kuwa ameoa, nilimweleza wazi kuwa siwezi kuendelea na mahusiano hayo, ndipo nikaamua kuyavunja.
Baada ya hapo, Elvis alianza kunitishia kwa hasira, na sasa hali imefikia hatua ya kutaka kuniangamiza, Ningependa kutoa wito kwa wanaume, mwanamke akikataa kuwa na wewe, muache na uendelee na maisha yako hata kama amekula pesa zako unaweza kupata zingine”
Kwani lazima mapenzi yahusishe pesa? Pendaneni kwa kutumia mioyo na siyo pesa. Pesa kila mtu akae na zake.Simple tu eti atapata nyingine, huo ni utapeli..japo sijawahi gharamia pesa nyingi ila najua maumivu yake ukishagundua kwamba lengo la mwanamke lilikuwa kukutapeli!
Hata serikalini hili swala limewekwa wazi viongozi waepuke kupokea zawadi pasipo utaratibu kwamaana madhara yake yanajulikana ni makubwa.ni muhimu zaidi kuepuka kupokea zawadi za pesa au mali kutoka kwa mtu ambae humpendi, kwasababu uwekezaji huo kwako unaweza kukutokea puani huko mbeleni.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
sifahamu chochote kuhusu hilo gentleman 🐒Hata serikalini hili swala limewekwa wazi viongozi waepuke kupokea zawadi pasipo utaratibu kwamaana madhara yake yanajulikana ni makubwa.