Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
muKeinia!Wa wapi huyo Mary Claire?
muKeinia!Wa wapi huyo Mary Claire?
Mbona jirani yangu mjaluo alioa nane? Au kuna kosa alifanya kwa kuoa wote hao?Wewe tu ila kwaimani yetu misho wa nne
🤣🤣🤣Wanawake wengine wanatabia mbaya za utapeli.
Bwana weeee 🤣🤣😄"Kama amekula pesa zako, utatafuta nyingine"...
Hawa watu huwa wanatuonaje😃😃😃
Kama mwanaume ukishaingia na Binti wa watu katika mahusiano Kwa nguvu ya ushawishi wa pesa jiandae kufikwa na kilio siku MojaWanaume sisi ni wajinga sana kwenye mapenzi.
Tunasomesha sio kwamba tunapenda sana wapenzi wetu wawe na elimu, hapana. Tunasomesha kuongeza ushawishi ili tupendwe, tunasomesha ili kuweka mipaka mwanamke awe wa pekeyetu.
Sasa kama wewe unaweka ada mezani ili mwanamke ashawishike kubaki kwako, akija mwingine ana mentality kama yakwako akaweka nyumba na gari kwa huyo binti, utamlaumu binti akikukataa?
😁Bila picha?
Tujue kama kweli ni mzigo wa kulipia ada
😆Anarahisisha sana maisha.
Eti atapata zingine.
Ye mbona kashindwa kuzipata mpaka kala za watu?
Tamaa tu na kutaka kuishi maisha ya kuigiza yasiyo yako.
Siyo wanaumizanaMwanamke akikwambia hakupendi achana naye usimlazimishe. Ila Wanawake huwa mnauumiza sana mioyo ya wanaume
"Kama amekula pesa zako, utatafuta nyingine"...
Hawa watu huwa wanatuonaje😃😃😃
Haaa 😀 😃 hatari sanaRelax wewe ndio umetolewa kuwa mfano kwa wengine
Sawa umeeleweka. Endeleeni kula pesa za wanaume na wao wataendelea kuwamwagia tindikali.Kila mada ikiwekwa, kosa anapewa mwanamke peke yake. Hawaambizani ukweli! Nawahurumia sana vijana wanaoyachukua ya humu na kuyapractice kwenye maisha yao.
Eee yeye kawa fundisho kwa ulinwengu.Haaa 😀 😃 hatari sana
SahihiAsirudie tena utapeli.
Mwanaume akifanya ubaya kwa mwanamke aliyempenda jua mwanamke alivuka mstari mwekundu.
Then next, ubaya ubwela.