Mary Claire: Sikumlazimisha anilipie ada na sikujua kuwa ameoa

Mary Claire: Sikumlazimisha anilipie ada na sikujua kuwa ameoa

Wanaume sisi ni wajinga sana kwenye mapenzi.

Tunasomesha sio kwamba tunapenda sana wapenzi wetu wawe na elimu, hapana. Tunasomesha kuongeza ushawishi ili tupendwe, tunasomesha ili kuweka mipaka mwanamke awe wa pekeyetu.

Sasa kama wewe unaweka ada mezani ili mwanamke ashawishike kubaki kwako, akija mwingine ana mentality kama yakwako akaweka nyumba na gari kwa huyo binti, utamlaumu binti akikukataa?
 
Amemwagiwa tindikali maeneo gani ya mwili? na huyo baradhuli amekamatwa? Yani mtu ameoa na bado analazimisha kulipia ada mabinti wa watu anakataliwa anamdhuru hilo lishamba la wapi? limeshakamatwa? na lenyewe limwagiwe tindikali kwenye korodani zake, shwaaain!
 
Tindikali ni mbaya wakuu, Usiombe yakukute.

Ndo maana mm hua nashangaa sana nikiskia mtu ananiuliza "Utanifanya nn" like yuko kwene halmashauri ya kichwa changu
 

Attachments

  • Screenshot_20260714-113825.png
    Screenshot_20260714-113825.png
    1.6 MB · Views: 14
Wanaume sisi ni wajinga sana kwenye mapenzi.
Hakuna ujinga wowote, Matapeli washindwe. Humtaki mwanaume usile pesa zake.

Tunasomesha sio kwamba tunapenda sana wapenzi wetu wawe na elimu, hapana. Tunasomesha kuongeza ushawishi ili tupendwe, tunasomesha ili kuweka mipaka mwanamke awe wa pekeyetu.

Sasa kama wewe unaweka ada mezani ili mwanamke ashawishike kubaki kwako, akija mwingine ana mentality kama yakwako akaweka nyumba na gari kwa huyo binti, utamlaumu binti akikukataa?
Ni wanaume wa nchi gani hao watatoa pesa baada ya makubaliano kuwa akija mwenye pesa zaidi mwanamke ataondoka na wakaridhia? Huwa ni utapeli tu.
 
Back
Top Bottom