Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
Wawa nanghe walwa ?Tulezuga wawa 😅
Wawa nanghe walwa ?Tulezuga wawa 😅
Kila mada ikiwekwa, kosa anapewa mwanamke peke yake. Hawaambizani ukweli! Nawahurumia sana vijana wanaoyachukua ya humu na kuyapractice kwenye maisha yao.Wanaume wa humu huwa na shida gani sijui! Badala ha kujadili kilichowekwa mezani wao ni mihemko tu!
Naleyomba gete banyamwezi, wawa ete bhabha 😅Wawa nanghe walwa ?
Case closed 🔐Ushauri:
Humtaki mwanaume usile pesa zake. Hakuna amani kwenye unyang'anyi, kichaka cha alitoa mwenyewe huwa hakisaidii. Humtaki mwanaume usile pesa zake. Ziogope kama ukoma. Kula pesa za umpendaye.
Wanayachukua ndio! maana vijana wengi ndio wanajitafuta halafu maisha wanakuja jifunzia humu! unakumbuka ile mada ya yule dada aliyemvumilia mume wake miaka mitano na bado anachagua kazi walivyompelekea moto?Kila mada ikiwekwa, kosa anapewa mwanamke peke yake. Hawaambizani ukweli! Nawahurumia sana vijana wanaoyachukua ya humu na kuyapractice kwenye maisha yao.
What is wawa ?Naleyomba gete banyamwezi, wawa ete bhabha 😅
bhabhaWhat is wawa ?
Wabheja Ng'wanike Seba agutonghelebhabha
Kumwagia tindikali huyo dada ni matokeo ya ujinga wake mwenyewe. Unatoa kitu you cannot afford to loose.Mwanaume anajua anachotaka, anajua kwanini anatoa pesa. Iwe kwa nia njema au ovu anajua yeye, Mwanamke ndo anayezila hizo pesa, yeye ndo alitakiwa achange karata zake vizuri. Unakula tu hujui unakula nini? Hujui nia ya anayekulisha? Ukilishwa na jini mnyonya damu?
Haya sasa karata zimechangwa na tindikali.
Wabheja sana kaka! tobisha..nzogo tuboneke!Wabheja Ng'wanike Seba agutonghele
Maybe yes, maybe not. Mwanaume kalipa akijua analipia nini, kahisi katapeliwa kareact. Wewe unayelipwa unajua unauza nini mpaka ukubali malipo?Kumwagia tindikali huyo dada ni matokeo ya ujinga wake mwenyewe. Unatoa kitu you cannot afford to loose.
Huyo kaka alitaka nini labda? Kwamba binti akimaliza chuo ataendelea kuliwa nae as kimada for the rest of her life?
Kwanini hakuikataa ada? Kwanini hakuikubali ada kwa utaratibu ulio rasmi?Yaani alitegemea binti ange sacrifice maisha yake yote, angekataa hata wanaotaka kumuoa only to remain as his concubine kwa vile tu alilipiwa ada? Is it possible??
Narudia, anayegharamika anajua anachogharamikia, Wewe unayegharamilkiwa, kwanini unagharamikiwa? Malipo ya gharama unayalipa wewe, sasa unaifahamu gharama?Sitetei dada kula hela ya watu ila mambo mengine ni ujinga wa mwanaume mwenyewe. Wewe utatakaje kitu alafu ulazimishe kiwe ilihali kinategemea maamuzi ya mwingine?
Nagulya baadaye, na scratch kichwa hapa mambo ni mengi mnoo 😂Wabheja sana kaka! tobisha..nzogo tuboneke!
Naikumbuka. Wacha wajidai vichwa ngumu. Matokeo watayaona muda ambao it's too late. Maana women are moving on hawana muda wa kupotezaWanayachukua ndio! maana vijana wengi ndio wanajitafuta halafu maisha wanakuja jifunzia humu! unakumbuka ile mada ya yule dada aliyemvumilia mume wake miaka mitano na bado anachagua kazi walivyompelekea moto?
Sawa lulu! Mambo yatakaa sawa tu Mungu ni mwema!Nagulya baadaye, na scratch kichwa hapa mambo ni mengi mnoo 😂