Mary Claire: Sikumlazimisha anilipie ada na sikujua kuwa ameoa

Mary Claire: Sikumlazimisha anilipie ada na sikujua kuwa ameoa

Mwanaume ndio alitakiwa achange karata zake vizuri. Unajua umeaoa halafu unaenda kumsomesha binti mwingine, hujiulizi tu kuwa binti akishamaliza akawa na uhitaji wa kuwa na familia yake we msomeshaji utawekwa upande gani??

Hii ni ujinga mnatetea.
Angekataa kusomeshwa kwani kalazimishwa kusomeshwa.
 
Maybe yes, maybe not. Mwanaume kalipa akijua analipia nini, kahisi katapeliwa kareact. Wewe unayelipwa unajua unauza nini mpaka ukubali malipo?

Kwanini hakuikataa ada? Kwanini hakuikubali ada kwa utaratibu ulio rasmi?

Narudia, anayegharamika anajua anachogharamikia, Wewe unayegharamilkiwa, kwanini unagharamikiwa? Malipo ya gharama unayalipa wewe, sasa unaifahamu gharama?
Wakati analipa ada alimini kuwa dada anauza future yake sio?
Wakati unatoa kugharamia make sure your intention is pure as well. Sio baadae tunaanza kuleteana makando kando. Dada alikubali kugharamiwa na boyfriend wake (future husband) na sio mume wa mtu......masuala ya mume wa mtu yamekuja in between..... ulitaka afanyeje?

Makubaliano yoyote yanayojengwa kwa ulaghai hayo sio makubaliano na yanafaa yavunjwe no matter how huge the investment is.
Mkaka alikuwa na nia ovu from the beginning. Yeye ni msabato ana mke na mtoto, lakini bado anaenda kuiengage na mwanamke mwingine (the victim) ambaye na yeye pia ni msabato ilhali akijua wazi kabisa yeye mkaka dini yake haimruhusu kuwa na wake wawili na binti pia hatokubali kuwa mke wa pili. Na ili ku cover uhalifu wake kwa ujinga wake bado akawa analipa ada! Yaani unafanya mtihani si grade yako alafu ukifeli unaanza kulaumu watu!
Aiseee peleka mboga pale unapoona utakula bila masimango.

N:B Sitetei binti kula hela ya mtu ila ujinga wa mtu usiwe lawama kwa mwingine. Huyo binti angekufa ingekuwa ni murder case. Au ni faida kwenda jela ukaacha familia yako inateseka only kwa ujinga wa kulipa kisasi?
Waambieni wadogo zenu wawe makini. Kuna wanyonge kama Mary Claire mtawamwagia tindikali ila pia kunao watakula pesa zenu, watawaacha na hamtawafanya chochote!
 
Angekataa kusomeshwa kwani kalazimishwa kusomeshwa.
Hiyo hela ingepita mikononi mwa mdada atleast ningeelewa kauli yako. Lakini unachukua account number kabisa unakuwa unaweka ada. We uliona wapi??!!!

Huyo kijana alikuwa analazimisha mambo.
 
Hapana ila nitajiandaa kwa lolote! si kila biashara inafanikiwa!

Wewe una mke, unaenda somesha binti mwingine ili iweje?

Kwanini umsomeshe mtu wakati una mke wako?

Nimekuelewa
Asande kushukuru!
Tungesikia upande wa mshkaji nae ingekaa powa sana.
 
Wakati analipa ada alimini kuwa dada anauza future yake sio?
Hoja sio mwanaume aliamini nini, anaweza kuamini chochote maana ni mlipaji. Hoja ni unalipiwa ada ukiamini nini? Kwa utaratibu upi? Kuna taratibu za mchumba kufahamika mkalipiana ada.

Wakati unatoa kugharamia make sure your intention is pure as well.
Unamaanisha mwanaume akiwekeza uwe kimada wake unakuwa na haki ya kupokea uwekezaji ila wajibu wa kuwa kimada wake huna? Ndo nyota ya tindikali inavyoanzaga.

Sio baadae tunaanza kuleteana makando kando. Dada alikubali kugharamiwa na boyfriend wake (future husband) na sio mume wa mtu......masuala ya mume wa mtu yamekuja in between..... ulitaka afanyeje?
Alifata utaratibu wa kupewa hiyo title ya "future husband" au walipeana ada gizani wazazi hawajui?
Makubaliano yoyote yanayojengwa kwa ulaghai hayo sio makubaliano na yanafaa yavunjwe no matter how huge the investment is.
Kila siku watu wanalaghaiwa na kutapeliwa. Tamaa imeleta tindikali.
Mkaka alikuwa na nia ovu from the beginning.
Maybe Yes, maybe not. Asingekula pesa zake isingekuwa na maana hiyo nia yake.
Yeye ni msabato ana mke na mtoto, lakini bado anaenda kuiengage na mwanamke mwingine (the victim) ambaye na yeye pia ni msabato ilhali akijua wazi kabisa yeye mkaka dini yake haimruhusu kuwa na wake wawili na binti pia hatokubali kuwa mke wa pili.
Hicho ni kichaka. Unagunduaje usabato wa mwenzako baada ya kula pesa zake? Mbona hukuugundua kabla hujazila?
Na ili ku cover uhalifu wake kwa ujinga wake bado akawa analipa ada! Yaani unafanya mtihani si grade yako alafu ukifeli unaanza kulaumu watu!
Aiseee peleka mboga pale unapoona utakula bila masimango.
Tamaa haina utetezi. Ada ilikuwa tamu, utamu wa gizani sasa umekuja hadharani ukiwa na machungu ya tindikali.
N:B Sitetei binti kula hela ya mtu ila ujinga wa mtu usiwe lawama kwa mwingine.
Kama hutetei basi wahimize wasizile ili wasimwagiwe tindikali. Wale pesa zenye utaratibu rasmi.
Huyo binti angekufa ingekuwa ni murder case.
Unadhani mhalifu alikuwa anaogopa kesi? Ni tukio la kwanza mwanaume hata kuua sababu ya uwekezaji kwenye mapenzi?
Au ni faida kwenda jela ukaacha familia yako inateseka only kwa ujinga wa kulipa kisasi?
Hili halina msaada kwa mwanamke mwenye tamaa ya kula vya wanaume.
Waambieni wadogo zenu wawe makini. Kuna wanyonge kama Mary Claire mtawamwagia tindikali ila pia kunao watakula pesa zenu, watawaacha na hamtawafanya chochote!
Pesa za wanaume hazina mwisho mzuri. Kama umezila ukapona, achana na hiyo tabia. Leo ni hadithi ya msabato, kesho hatujui itakuwa ya nani.
 
Hitasaidia kitu kashamwaga tindikali anajieleza nini?
Yees, Ni hoja ya msingi. Tindikali ishamwagwa, suala la ataenda wapi, atasema nini kwa sasa halina maana sana kwa aliyemwagiwa tindikali.
 
Yees, Ni hoja ya msingi. Tindikali ishamwagwa, suala la ataenda wapi, atasema nini kwa sasa halina maana sana kwa aliyemwagiwa tindikali.
Kabisa!
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hii kesi ngumu
Ila kama alikuwa hataki alipiwe Ada kwanini alitoa details zote za shule?
Ila na huyo jamaa pia ana makosa kwa kuchukua maamuzi hayo
Una mke unahangaika na vitoto vya shule
Sawa ni maamuzi yake lakini je hakupiga mahesabu au hata ku predict that
 
Mary Claire binti Aliye mwagiwa Tindikali na aliye kuwa mchumba wake aliye Msomesha amefunguka kuwa,

“Sikuwahi kumuomba huyo mwanaume anilipie ada ya shule. Ni yeye mwenyewe aliniomba nimpe maelezo ya akaunti ya shule, nikampa bila kujua kuwa angeanza kulipa ada. Nilijaribu hata kumzuia, lakini aliniambia ananipenda sana na yuko tayari kunifanyia chochote.

Katika kipindi chote tulichokuwa kwenye mahusiano, hakuwahi kuniambia kuwa tayari ameoa, na pia sikuwahi kumuona na mke wake. Baada ya kugundua kuwa ameoa, nilimweleza wazi kuwa siwezi kuendelea na mahusiano hayo, ndipo nikaamua kuyavunja.

Baada ya hapo, Elvis alianza kunitishia kwa hasira, na sasa hali imefikia hatua ya kutaka kuniangamiza, Ningependa kutoa wito kwa wanaume, mwanamke akikataa kuwa na wewe, muache na uendelee na maisha yako hata kama amekula pesa zako unaweza kupata zingine”
Duuuu
 
Hakuna ujinga wowote, Matapeli washindwe. Humtaki mwanaume usile pesa zake.


Ni wanaume wa nchi gani hao watatoa pesa baada ya makubaliano kuwa akija mwenye pesa zaidi mwanamke ataondoka na wakaridhia? Huwa ni utapeli tu.
Kama unaweka pesa umbakize mwanamke, basi atakuja mwenye akili kama zako za kutumia pesa kuwa na mwanamke ataweka pesa nyingi kukuzidi na atamchukua.
 
Mary Claire binti Aliye mwagiwa Tindikali na aliye kuwa mchumba wake aliye Msomesha amefunguka kuwa,

“Sikuwahi kumuomba huyo mwanaume anilipie ada ya shule. Ni yeye mwenyewe aliniomba nimpe maelezo ya akaunti ya shule, nikampa bila kujua kuwa angeanza kulipa ada. Nilijaribu hata kumzuia, lakini aliniambia ananipenda sana na yuko tayari kunifanyia chochote.

Katika kipindi chote tulichokuwa kwenye mahusiano, hakuwahi kuniambia kuwa tayari ameoa, na pia sikuwahi kumuona na mke wake. Baada ya kugundua kuwa ameoa, nilimweleza wazi kuwa siwezi kuendelea na mahusiano hayo, ndipo nikaamua kuyavunja.

Baada ya hapo, Elvis alianza kunitishia kwa hasira, na sasa hali imefikia hatua ya kutaka kuniangamiza, Ningependa kutoa wito kwa wanaume, mwanamke akikataa kuwa na wewe, muache na uendelee na maisha yako hata kama amekula pesa zako unaweza kupata zingine”
😂😂 Eti hatakama amekula pesa zako unaweza kupata zingine.kwahyo ndo ushauri wake huoo? Muhm mwanamke hasomeshwi na pia mwanamke mspende kula vya watu wengine hawawezi kujizuia pindi vyao vikiliwa kizembe mtatolewa rohoo
 
Back
Top Bottom