Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau wa JF
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Benki ya Dunia (World Bank) imefanya uteuzi wa Meneja wake Nchini Cambodia
Aliyeteuliwa ni Bi Maryamu Salim ambaye ni Mtanzania mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya 20 kwenye sekta ya fedha duniani
Kabla ya uteuzi huo Bi Maryam alihudumu kwenye nafasi hiyo kwa muda wa miaka minne nchini Albania
Mteuliwa huyo ni Binti wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Dkt Salim Ahmed Salim