Maryam Salim ateuliwa kuwa Meneja wa Benki ya Dunia nchini Cambodia

Maryam Salim ateuliwa kuwa Meneja wa Benki ya Dunia nchini Cambodia

Daaah mwisho wa siku nikajua jina litakuja Mariam matonya au rose kamba ndefu niseme mtoto gani huyo wa mkulima kaula huko duniani daah kumbe Asante kwa kutujuza binamu hamna la ajabu hapo kutokea namtakia Kila la kheri kwenye nafasi mpya alopewa akatuwakilishe vyema watanzania Sisi kina James mbelenyuma bado tuna safari ndefu ndio kwanza tunazisaka connection za kuukwaaa hata nafasi nyeti hapa nchini
Mbona yule binti Msuya aliyechaguliwa wa UNEP hamkusema hivyo? Wacheni ubaguzi.
 
Wadau wa JF

Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Benki ya Dunia (World Bank) imefanya uteuzi wa Meneja wake Nchini Cambodia

Aliyeuliwa ni Bi Maryamu Salim ambaye ni Mtanzania mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya 20 kwenye sekta ya fedha duniani

Kabla ya uteuzi huo Bi Maryam alihudumu kwenye nafasi hiyo kwa muda wa miaka minne nchini Albania

Mteuliwa huyo ni Binti wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Dkt Salim Ahmed Salim

Again Mwanamke😊
 
Huyu tangu amemaliza shule alikuwa akifanya kazi huko huko world bank; ni uteuzi huu hauna uhusiano na utanzania wake, bali unatokana na yeye kuwa mmoja wao. Zamani kidogo kulikuwa Dr Humplick akiongoza kitengo cha barabara cha world bank. Dr Humplick ni binti wa aliyekuwa mwanamuziki zamani sana akijulikana kama Frank na dada zake, jina lake halisi likiwa ni Frank Humplick
 
Back
Top Bottom