mjombakim
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 1,193
- 1,854
zamu yenu demkeniAgain Mwanamkeš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zamu yenu demkeniAgain Mwanamkeš
Babake alifanya kazi sana hapo UN, AU, bongo PM, jina ndiyo kila kitu ukijiongezea na uwezo wa akili, CV unakuta kapata nchi mbalimbali, basi jina na mengineyo inakuwa story tu.Daaah mwisho wa siku nikajua jina litakuja Mariam matonya au rose kamba ndefu niseme mtoto gani huyo wa mkulima kaula huko duniani daah kumbe Asante kwa kutujuza binamu hamna la ajabu hapo kutokea namtakia Kila la kheri kwenye nafasi mpya alopewa akatuwakilishe vyema watanzania Sisi kina James mbelenyuma bado tuna safari ndefu ndio kwanza tunazisaka connection za kuukwaaa hata nafasi nyeti hapa nchini
Tunarahatupika tu sisi jamanizamu yenu demkeni
Halafu angemlipa mshahara sawa kama mwigulu au waitara, au?Ina maana Madam SSH wakati anateua waziri wa fedha hakumwona huyu Maryam Salim au Madam hana CV zake?
Kuna Watanzania ni vichwa kweli kweli na wanatumiwa sana na taasisi za Kimataifa lakini sisi hapa nyumbani tunawapuuzia.
Naomba niseme kitu kuhusu shughuli na juhudi tunazozifanya Mana kiukweli hizi tamthilia za kikorea, bongo muvi, na bongo fleva bado hujaweka usimba na yanga hvyo vyote ndo vinafsnya uwezo wa mtanzania kufikiria hsfifu sababu akili ishafungwa kufikiria nje ya box.Kondoka kwenye poverty circle sio swala rahisi kama tunavyoelekezana!
tuanze tu kwa mfano halisi iliyokuwepo:-
kwa mifano michache unaweza kuona japo unatakiwa kufikiri zaidi ya haya hivyo kwa huyu ni haki yake akiwa baba yake alikuwa balozi akiwa na miaka 19 unategemea nini? sisi wengine kama watoto wetu waalimu basi tukitoboa sana wengi tutaishia ukuu wa shule!
- Ajuaye ni fundi selemara wa kawaida ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 31 akiwa amebakiza miaka 14 ya kufanya kazi ngumu kwa uwezo wake wa kawaida.
- katika umri huu ana mke na mtoto mmoja mwenye mwaka mmoja ambaye alimpata baada ya kuoa akiwa na miaka 29.
- baada ya miaka saba mtoto wa kwanza ataanza darasa la kwanza wakati yeye akiwa na miaka 38 akibakiza miaka saba ya kufanya kazi kwa nguvu. lakini ndani ya miaka saba wamezaliwa ndugu wengine wawili na kufanya jumla ya watoto 3
- anapomaliza darasa la saba mtoto wa kwanza na baba umri wa kufanya kazi vizuri umekwama atajitahidi angalau avuke kidato cha nne kwa mbinde sasa hapa dogo aombe afauru baba anaweza kujitahidi mpaka kidato cha sita
- akianza chuo inabidi dogo sehemu ya boom lake aweke ili amsaidie baba kuwavusha wadogo zake hivyo fikra zake ni jinsi ya kupunguza umaskini kwao kwa shule za madogo wakati huyu wa familia bora pamoja na boom bado baba anamwekea 150,000 kila mwenzi na ikiwezekana mafuta ya gari nje ya shule atafikiria vitu vikubwa vya kufanya wakati huyu anafikiria wadogo zake.
- na yeye atachelewa kuoa kwa kuwa kipato kidogo na hana network na connection ya kazi za maana hivyo tunarudi palepale yeye kutegemea kazi na kuomba serikali iongeze mshahara na anakazana watoto wasome hafikiri maisha mengine zaidi ya ajara kwa watoto wake.
Wewe unafikiri mshahara wa Mwigulu ni mdogo? Plus marupu rupu?Halafu angemlipa mshahara sawa kama mwigulu au waitara, au?
Natumaini atapata mapokezi makubwa kutoka kwa panya MagawaKule kule alipo panya Magawa
PANYA WETU SHUPAFU MAGAWA AMESHASTAAFU KWA HESHIMA ZOTEKule kule alipo panya Magawa
lakini mtoto ukimfunga kwako ataangalia vitu hatari zaidi kwa jirani.Naomba niseme kitu kuhusu shughuli na juhudi tunazozifanya Mana kiukweli hizi tamthilia za kikorea, bongo muvi, na bongo fleva bado hujaweka usimba na yanga hvyo vyote ndo vinafsnya uwezo wa mtanzania kufikiria hsfifu sababu akili ishafungwa kufikiria nje ya box.
Fanya karesearch kadogo kuhusu mbadala wa hayo niliyoyasema hapo juu ndo utajua kuhusu hili la Maryam salmin hakuna muujiza hapo kumbe ndio Jambo lililokuwa linatarajiwa Tena Hilo huenda n dogo kwa level yake.
Tung'oe madish ya Azam na startimes huku tukiblock channel za magic DStv akili zetu na watoto wetu zikue
Wangu naamini nawalea Kama Babu yako Ila Babu kazidisha Mambo mie sijafikia huko.lakini mtoto ukimfunga kwako ataangalia vitu hatari zaidi kwa jirani.
binafsi namkumbuka babu yangu alivyonilea alikuwa mnoko lakini katika mazingira hayo hayo lazima akupe starehe na furaha.
nyumbani kwake ilikuwa hata kama unaumwa lazima uende shule la sivyo ikifika saa nane akiona uko poa atakwambia saa kumi muende shamba na lazima mrudi na mzigo wa kuni.
jioni hakubani kusoma wala hatakwambia ila ikifika saa nne anazima taa za nyumba nzima mlale. baada ya chakula cha jioni ambacho mnakula saa moja na nusu na sala za jioni mnaruhusiwa kutoka kutafuta chakula chakula cha mbwa na matembezi binafsi ila saa tatu uwe umerudi ili usome kidogo saa nne taa inazimwa.
jumamosi lazima watoto wote muende disco na hela anawapa au kuangalia sinema sasa ole wako useme siendi utafokewa kwanini unajitenga hivyo kutoka ni lazima.
jumapili kanisani mkitoka mnapitia kuchoma nyama kwenye bar fulani na kunywa soda kisha mnarudi nyumbani yeye mnamwacha anaongea na rafiki zake saa 12 anarudi na ukiwa naye bar utakunywa soda ukiwa nyumbani unaruhusiwa kunywa bia hana shida hivyo toka la kwanza tunajua pombe.
ila ikitokea matokeo ya shule hata kama kafauru mmoja uje lazima ni mtoto wake.
lugha ya kuongea ndani ni kilugha kiswahili shuleni.
hakuna kuomba kitu kwa jirani hata chumvi bali yeye ndiye mwenye mamlaka ya kufanya hivyo kama imetokea na sio kwa jirani wa karibu.
acha kabisa.
hivyo nenda nao mdogomdogo ukijenga misimamo ya kusimamia kwa maisha yao na mambo yatakwenda.
...mjanja haswa...ameamua kuzeekea huko huko nje...ni Bora kuliko kurudi tz na kutumika na type za kina kabudi na bashiru....Ona mfano wa Yule James Matarajio anavyotumbuliwa na kurudishwa...Bora angebaki zake marekani ..Leo angekua mbali kule California..hamna haja ya kutumika nchini ambako unatumikishwa na wezi na walanguzi wa Maisha ya watanzania wenzao..Huyu binti ni bonge la mjanja. Aliamua kukaa mbali na SHIIITHOLE country. Hataki stress.
Angekuwa mpumbavu sasa hivi angekuwa mbunge viti maalum.
Ni James Mataragio. Una maana hajui kulinganisha alichokuwa akipata America na anachopata TPDC Seriously?...mjanja haswa...ameamua kuzeekea huko huko nje...ni Bora kuliko kurudi tz na kutumika na type za kina kabudi na bashiru....Ona mfano wa Yule James Matarajio anavyotumbuliwa na kurudishwa...Bora angebaki zake marekani ..Leo angekua mbali kule California..hamna haja ya kutumika nchini ambako unatumikishwa na wezi na walanguzi wa Maisha ya watanzania wenzao..
..anajua ..lakini mara nyingi inaathiriwa na uzalendo..Yani vile ni nyumbani MTU anakubali Tu anachopata..lakini huwezi kulinganisha kipato cha USA na hapa tz...Kwa nafasi yoyote kwenye formal employment..Ni James Mataragio. Una maana hajui kulinganisha alichokuwa akipata America na anachopata TPDC Seriously?
hata hivyo techinologia imebadilika kwa hiyo wewe unaweza kuwa mzazi bora katika kizazi hiki.Wangu naamini nawalea Kama Babu yako Ila Babu kazidisha Mambo mie sijafikia huko.
Jambo jema najaribu kuwatengenezea dunia yao bila kuathiri hatua yoyote Ile ya malezi na makuzi