Maryam Salim ateuliwa kuwa Meneja wa Benki ya Dunia nchini Cambodia

Maryam Salim ateuliwa kuwa Meneja wa Benki ya Dunia nchini Cambodia

Kondoka kwenye poverty circle sio swala rahisi kama tunavyoelekezana!
tuanze tu kwa mfano halisi iliyokuwepo:-
  1. Ajuaye ni fundi selemara wa kawaida ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 31 akiwa amebakiza miaka 14 ya kufanya kazi ngumu kwa uwezo wake wa kawaida.
  2. katika umri huu ana mke na mtoto mmoja mwenye mwaka mmoja ambaye alimpata baada ya kuoa akiwa na miaka 29.
  3. baada ya miaka saba mtoto wa kwanza ataanza darasa la kwanza wakati yeye akiwa na miaka 38 akibakiza miaka saba ya kufanya kazi kwa nguvu. lakini ndani ya miaka saba wamezaliwa ndugu wengine wawili na kufanya jumla ya watoto 3
  4. anapomaliza darasa la saba mtoto wa kwanza na baba umri wa kufanya kazi vizuri umekwama atajitahidi angalau avuke kidato cha nne kwa mbinde sasa hapa dogo aombe afauru baba anaweza kujitahidi mpaka kidato cha sita
  5. akianza chuo inabidi dogo sehemu ya boom lake aweke ili amsaidie baba kuwavusha wadogo zake hivyo fikra zake ni jinsi ya kupunguza umaskini kwao kwa shule za madogo wakati huyu wa familia bora pamoja na boom bado baba anamwekea 150,000 kila mwenzi na ikiwezekana mafuta ya gari nje ya shule atafikiria vitu vikubwa vya kufanya wakati huyu anafikiria wadogo zake.
  6. na yeye atachelewa kuoa kwa kuwa kipato kidogo na hana network na connection ya kazi za maana hivyo tunarudi palepale yeye kutegemea kazi na kuomba serikali iongeze mshahara na anakazana watoto wasome hafikiri maisha mengine zaidi ya ajara kwa watoto wake.
kwa mifano michache unaweza kuona japo unatakiwa kufikiri zaidi ya haya hivyo kwa huyu ni haki yake akiwa baba yake alikuwa balozi akiwa na miaka 19 unategemea nini? sisi wengine kama watoto wetu waalimu basi tukitoboa sana wengi tutaishia ukuu wa shule!
kweli usemalo ndio maana nikisema niliyoyasema. tuzidi kumtanguliza Mungu kuongeza jitihada tunaweza kuwa yoyote mradi Mungu yuppie tumwombee ndugu yetu afanikiwe inawezekana siku moja tukaenda kujifunza kwakwe
 
Wadau wa JF

Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Benki ya Dunia (World Bank) imefanya uteuzi wa Meneja wake Nchini Cambodia

Aliyeuliwa ni Bi Maryamu Salim ambaye ni Mtanzania mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya 20 kwenye sekta ya fedha duniani

Kabla ya uteuzi huo Bi Maryam alihudumu kwenye nafasi hiyo kwa muda wa miaka minne nchini Albania

Mteuliwa huyo ni Binti wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Dkt Salim Ahmed Salim

Like father like son
 
Huyu tangu amemaliza shule alikuwa akifanya kazi huko huko world bank; ni uteuzi huu hauna uhusiano na utanzania wake, bali unatokana na yeye kuwa mmoja wao. Zamani kidogo kulikuwa Dr Humplick akiongoza kitengo cha barabara cha world bank. Dr Humplick ni binti wa aliyekuwa mwanamuziki zamani sana akijulikana kama Frank na dada zake, jina lake halisi likiwa ni Frank Humplick
Frank wa lushoto naelewa sana tungo zake, alikuwa kichwa sana
 
Ina maana Madam SSH wakati anateua waziri wa fedha hakumwona huyu Maryam Salim au Madam hana CV zake?

Kuna Watanzania ni vichwa kweli kweli na wanatumiwa sana na taasisi za Kimataifa lakini sisi hapa nyumbani tunawapuuzia.

Sisi tunabaki na makapi....
 
Wadau wa JF

Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Benki ya Dunia (World Bank) imefanya uteuzi wa Meneja wake Nchini Cambodia

Aliyeuliwa ni Bi Maryamu Salim ambaye ni Mtanzania mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya 20 kwenye sekta ya fedha duniani

Kabla ya uteuzi huo Bi Maryam alihudumu kwenye nafasi hiyo kwa muda wa miaka minne nchini Albania

Mteuliwa huyo ni Binti wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Dkt Salim Ahmed Salim

Maji hufuata mkondo.Hongera zake.
 
Heko Dr. Salim na Mahiga kwa kuacha foot print za kueleweka. Watoto wenu wanajibeba wenyewe.
Kuna wengine mpaka leo wanahangaika na tender za serikali ambazo hawana hata weledi nazo, ili wakishindwa kina baba wapige simu za kuulizia kwanini mwanangu mmemnyima tender.
They cant stand on their own. Ina sikitisha sana
 
Back
Top Bottom