Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Akashaghulikie na pensheni ya Meja Jen. Mstaafu Rodric Magawa[emoji3][emoji3][emoji3]Kule kule alipo panya Magawa
Kabisaa mkuu anaenda kumpa hiKule kule alipo panya Magawa
Wadau wa JF
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Benki ya Dunia (World Bank) imefanya uteuzi wa Meneja wake Nchini Cambodia
Aliyeuliwa ni Bi Maryamu Salim ambaye ni Mtanzania mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya 20 kwenye sekta ya fedha duniani
Why?Sahihisha hapo kijana
Soma tena ulicho kiandikaWhy?
Anafanana na baba yakeWadau wa JF
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Benki ya Dunia (World Bank) imefanya uteuzi wa Meneja wake Nchini Cambodia
Aliyeuliwa ni Bi Maryamu Salim ambaye ni Mtanzania mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya 20 kwenye sekta ya fedha duniani
Kabla ya uteuzi huo Bi Maryam alihudumu kwenye nafasi hiyo kwa muda wa miaka minne nchini Albania
Mteuliwa huyo ni Binti wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Dkt Salim Ahmed Salim
Kondoka kwenye poverty circle sio swala rahisi kama tunavyoelekezana!Daaah mwisho wa siku nikajua jina litakuja Mariam matonya au rose kamba ndefu niseme mtoto gani huyo wa mkulima kaula huko duniani daah kumbe Asante kwa kutujuza binamu hamna la ajabu hapo kutokea namtakia Kila la kheri kwenye nafasi mpya alopewa akatuwakilishe vyema watanzania
Umeandika aliyeuliwa badala ya aliyeteuliwaWhy?