Maryam Salim ateuliwa kuwa Meneja wa Benki ya Dunia nchini Cambodia

Maji yanafuata mkondo!
 
Mbona yule binti Msuya aliyechaguliwa wa UNEP hamkusema hivyo? Wacheni ubaguzi.
 

Again Mwanamke😊
 
Huyu tangu amemaliza shule alikuwa akifanya kazi huko huko world bank; ni uteuzi huu hauna uhusiano na utanzania wake, bali unatokana na yeye kuwa mmoja wao. Zamani kidogo kulikuwa Dr Humplick akiongoza kitengo cha barabara cha world bank. Dr Humplick ni binti wa aliyekuwa mwanamuziki zamani sana akijulikana kama Frank na dada zake, jina lake halisi likiwa ni Frank Humplick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…