Maryam Salim ateuliwa kuwa Meneja wa Benki ya Dunia nchini Cambodia

kweli usemalo ndio maana nikisema niliyoyasema. tuzidi kumtanguliza Mungu kuongeza jitihada tunaweza kuwa yoyote mradi Mungu yuppie tumwombee ndugu yetu afanikiwe inawezekana siku moja tukaenda kujifunza kwakwe
 
Like father like son
 
Frank wa lushoto naelewa sana tungo zake, alikuwa kichwa sana
 
Ina maana Madam SSH wakati anateua waziri wa fedha hakumwona huyu Maryam Salim au Madam hana CV zake?

Kuna Watanzania ni vichwa kweli kweli na wanatumiwa sana na taasisi za Kimataifa lakini sisi hapa nyumbani tunawapuuzia.

Sisi tunabaki na makapi....
 
Maji hufuata mkondo.Hongera zake.
 

Heko Dr. Salim na Mahiga kwa kuacha foot print za kueleweka. Watoto wenu wanajibeba wenyewe.
Kuna wengine mpaka leo wanahangaika na tender za serikali ambazo hawana hata weledi nazo, ili wakishindwa kina baba wapige simu za kuulizia kwanini mwanangu mmemnyima tender.
They cant stand on their own. Ina sikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…