Maryam Salim ateuliwa kuwa Meneja wa Benki ya Dunia nchini Cambodia

Babake alifanya kazi sana hapo UN, AU, bongo PM, jina ndiyo kila kitu ukijiongezea na uwezo wa akili, CV unakuta kapata nchi mbalimbali, basi jina na mengineyo inakuwa story tu.

Everyday is Saturday............................... šŸ˜Ž
 
Naomba niseme kitu kuhusu shughuli na juhudi tunazozifanya Mana kiukweli hizi tamthilia za kikorea, bongo muvi, na bongo fleva bado hujaweka usimba na yanga hvyo vyote ndo vinafsnya uwezo wa mtanzania kufikiria hsfifu sababu akili ishafungwa kufikiria nje ya box.

Fanya karesearch kadogo kuhusu mbadala wa hayo niliyoyasema hapo juu ndo utajua kuhusu hili la Maryam salmin hakuna muujiza hapo kumbe ndio Jambo lililokuwa linatarajiwa Tena Hilo huenda n dogo kwa level yake.

Tung'oe madish ya Azam na startimes huku tukiblock channel za magic DStv akili zetu na watoto wetu zikue
 
Halafu angemlipa mshahara sawa kama mwigulu au waitara, au?
Wewe unafikiri mshahara wa Mwigulu ni mdogo? Plus marupu rupu?

Well, may be mshahara wa bongo unaweza usilingane na huo wa taasisi za kimataifa, but there is a prestige to be a minister of finance, not only a lucrative salary that matters.
 
Yupo mtoto wa mzee Mbowe pia alikuwa country rep wa WB malawi somebody. Appolo Mbowe. Kasoma Manchester university.

Is it really poverty is genetically motivated?
 
lakini mtoto ukimfunga kwako ataangalia vitu hatari zaidi kwa jirani.
binafsi namkumbuka babu yangu alivyonilea alikuwa mnoko lakini katika mazingira hayo hayo lazima akupe starehe na furaha.
nyumbani kwake ilikuwa hata kama unaumwa lazima uende shule la sivyo ikifika saa nane akiona uko poa atakwambia saa kumi muende shamba na lazima mrudi na mzigo wa kuni.
jioni hakubani kusoma wala hatakwambia ila ikifika saa nne anazima taa za nyumba nzima mlale. baada ya chakula cha jioni ambacho mnakula saa moja na nusu na sala za jioni mnaruhusiwa kutoka kutafuta chakula chakula cha mbwa na matembezi binafsi ila saa tatu uwe umerudi ili usome kidogo saa nne taa inazimwa.
jumamosi lazima watoto wote muende disco na hela anawapa au kuangalia sinema sasa ole wako useme siendi utafokewa kwanini unajitenga hivyo kutoka ni lazima.
jumapili kanisani mkitoka mnapitia kuchoma nyama kwenye bar fulani na kunywa soda kisha mnarudi nyumbani yeye mnamwacha anaongea na rafiki zake saa 12 anarudi na ukiwa naye bar utakunywa soda ukiwa nyumbani unaruhusiwa kunywa bia hana shida hivyo toka la kwanza tunajua pombe.
ila ikitokea matokeo ya shule hata kama kafauru mmoja uje lazima ni mtoto wake.
lugha ya kuongea ndani ni kilugha kiswahili shuleni.
hakuna kuomba kitu kwa jirani hata chumvi bali yeye ndiye mwenye mamlaka ya kufanya hivyo kama imetokea na sio kwa jirani wa karibu.
acha kabisa.
hivyo nenda nao mdogomdogo ukijenga misimamo ya kusimamia kwa maisha yao na mambo yatakwenda.
 
Wangu naamini nawalea Kama Babu yako Ila Babu kazidisha Mambo mie sijafikia huko.

Jambo jema najaribu kuwatengenezea dunia yao bila kuathiri hatua yoyote Ile ya malezi na makuzi
 
Huyu binti ni bonge la mjanja. Aliamua kukaa mbali na SHIIITHOLE country. Hataki stress.
Angekuwa mpumbavu sasa hivi angekuwa mbunge viti maalum.
...mjanja haswa...ameamua kuzeekea huko huko nje...ni Bora kuliko kurudi tz na kutumika na type za kina kabudi na bashiru....Ona mfano wa Yule James Matarajio anavyotumbuliwa na kurudishwa...Bora angebaki zake marekani ..Leo angekua mbali kule California..hamna haja ya kutumika nchini ambako unatumikishwa na wezi na walanguzi wa Maisha ya watanzania wenzao..
 
Ni James Mataragio. Una maana hajui kulinganisha alichokuwa akipata America na anachopata TPDC Seriously?
 
Ni James Mataragio. Una maana hajui kulinganisha alichokuwa akipata America na anachopata TPDC Seriously?
..anajua ..lakini mara nyingi inaathiriwa na uzalendo..Yani vile ni nyumbani MTU anakubali Tu anachopata..lakini huwezi kulinganisha kipato cha USA na hapa tz...Kwa nafasi yoyote kwenye formal employment..
 
Huyo ndio binti ws kiongozi anayejitambua sio mabinti wawili wenye msongo wa mawazo uliopitiliza wana bwabwaja mautopolo huko jamhuri ya twira
 
Wangu naamini nawalea Kama Babu yako Ila Babu kazidisha Mambo mie sijafikia huko.

Jambo jema najaribu kuwatengenezea dunia yao bila kuathiri hatua yoyote Ile ya malezi na makuzi
hata hivyo techinologia imebadilika kwa hiyo wewe unaweza kuwa mzazi bora katika kizazi hiki.
kuna siku nilipita mtaa mmoja nikaona watoto wa familia (familia bora) wanatengeneza bustani ya mbogamboga ikabidi nisimame kwanza kwa kuwa kwangu lilikuwa ni tukio ambalo sijaliona muda mrefu hivyo niligundua kwa kiasi fulani kulikuwa na malezi mazuri katika familia hii vinginevyo tungeona gardener anafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…