Masaa 10 ya Jehanamu nyumbani kwa Sister

Safi ,hayo ndo malezi
 
Mtu mbadi hupendi ujinga
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Junia asipite angazangu aisee napenda watoto lkn hii hapana
 
african ways of parenting...very interesting..african fatherhood is an example of all..ni vile elimu tu za kisasa zinazid kuharibu vijana wetu wanakua hovyo na wanazaa watoto na kuwalea hovyo.
 
Kuna matoto mawili ya anko aliyazaa fasta fasta,kipind yakiwa madogo yalinifanya nisiende kwa anko,ukienda ukiwa getini linakuzuia kuingia ,ukilazimisha linaanza kukuitia mwizi

Alikuwa anaambiwa na wazazi wake
 
Nimecheka kama mjinga daaaah!!
 
Pole bingwa. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Samaki mkunje akiwa mbichi. Mtoto akililia wembe mpe…..
Naandika huku hasira zimenipanda. Ila hao wazazi watakuja lia kilio cha mbwa mwitu. Shauri lao 🥵😡🤬
 
Kuna matoto mawili ya anko aliyazaa fasta fasta,kipind yakiwa madogo yalinifanya nisiende kwa anko,ukienda ukiwa getini linakuzuia kuingia ,ukilazimisha linaanza kukuitia mwizi
🤣🤣🤣🤣
 
lol 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…