Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Una moto a.k.a una heat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa JF usishangae ukikuta ni dume hilo.Cougar on fleek.
Kwakwer Apa mshangazi umemaindi punguzeni kazi wavulanqNi kama miezi 3 kwenye social networks nyingine.
Ila JF vivulana vinatongoza sana PM.
Ni kama vimetumwa kunijaribu.
Floor ya 4 kesho kutwa tu hapa😁Bwana mdogo, 😅😅😅
Kuna wakati nasomaga nachoandika sijui najionaga kama mama yake Yesu eeh
Wala sina uhanga wowote, watu hutoa shuhuda zao humu, mnawaibukia PM na huwa mnawaomba hela wadada humu, mnakuja kuanikana hapahapa.Hii sauti ina uhanga ndani yake. 😅
Basi upo pale kwenye wakakaFloor ya 4 kesho kutwa tu hapa😁
😄😄 usije kunianika humu tajiri wetu😅Wala sina uhanga wowote, watu hutoa shuhuda zao humu, mnawaibukia PM na huwa mnawaomba hela wadada humu, mnakuja kuanikana hapahapa.
Naomba vocha Muslimah Bantu Lady Airtel utaitupia 👉📦😁Wala sina uhanga wowote, watu hutoa shuhuda zao humu, mnawaibukia PM na huwa mnawaomba hela wadada humu, mnakuja kuanikana hapahapa.
Muandiko wa kiume ule.
🤗Basi upo pale kwenye wakaka
You are missed kivuruge wangu😅😅😅kumeanza kuchangamka
Miss you too kipangaspecial au ndo unaiombeamo?😅😅You are missed kivuruge wangu
Namheshimu kaka yanguMiss you too kipangaspecial au ndo unaiombeamo?😅😅
Safi sana shem wakeNamheshimu kaka yangu