Masaa 72 Yanga waliowapa TPLB yamekwisha, Sasa tukutane CAS

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Tukumbuke tarehe March 10, 2025.
Yanga waliandika barua Kwa bodi ya ligi kudai haki Yao ya magoli 3 pamoja na points 3 na fidia ya Tshs million 56,435,000 baada ya uvunjifu wa mchezo ambao ulikuwa ufanyike tarehe 8 March

Simba waliwashinikiza bodi ya ligi katika hali isiyo ya kawaida bodi ya ligi Kwa kuongozwa na hisia na bila ya kufuata kanuni wanavunja mchezo

Bodi ya ligi walijulishwa wao wakachagua kukaa kimya bila kujibu madai ya young Africans

Sasa baada ya saa 72 kutamatika shauri linaenda kwenye mahakama ya usulihisi wa michezo kimataifa CAS

Hapa hata bodi ya ligi walipanga tarehe mpya ya mchezo hakuna kitakachoendelea Kwa kuwa shauri litakuwa CAS

Kila la heri Young Africans
Yanga bingwa
 
Andiko moja tu La Mwanamume Mnyama...., Yanga inakuja na Maandiko kumi kidogo hlf yooote ni Mikwala tu.

Tarehe itapangwa ya mechi iliyoahirishwa na timu zote zitaletwa kiwanjani kama kawa.

Hakuna pointi za mezani karne hii.

Mali utaipata shambani..! Mali inapatikana shambani.
 
Ujinga mtupu!
 
Sawa
 
Utopolo promax
 
[emoji23][emoji23] this is hilarious... andiko Moja tu limezua haya yote.
 
Tunaomba kujua Mwanasheria yupi wa Yanga atakaepeleka mashtaka 'CAS'???
Ni huyu Patrick Simon?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…